Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Tuiweke ishu ya green guards kwenye headlines za kesho kwenye media ili watanzania wajue kwamba tunapoitaja hiyo platoon ndo inakuja tafsiri kwamba kikwete anatukanwa
Ayaseme haya yote Lakini hiyo tarehe 31 tutaonekana hivi hapa chini ili kumchagua tumtakaye
You said it all. Otherwise Kova kamata JK.Sasa mbona MAJUHA ni tusi pia...
kama ndivyo ngoma droo, hakuna kushitakiana!
Juha huona wengine nao kama majuha.....kwa hiyo Kikwete yuko sawa kuwaona Chadema ni genge la majuha, kwani yeye ni juha in the first place!
Unamaana JK nikiongozi wa Majuha??Now you speak!Thanks To me no comment!!
JK ana matatizo gani?, bado nasema uwezo wa kufikiri wa JK ni mdogo sana yaani IQ yake
:doh:Hivi, Kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura Juha jei kei mtukana hadharani, masafisha mafisadi, asiye-jua-kwa-nini-watanzania-ni-masikini, mzandiki, mdini, msimamia-umwagikaji-damu-kupitia-walinzi-wa-kijani, mkimbia-midahalo-ya-wazi, mpenda-controlled-dialogues (a.k.a midahalo at STP - Standard temperature and Pressure) kama atakayoifanya kesho kwenye vyombo vya habari, mlewa-madaraka, limbukeni-wa-cheo, mlipiza-visasi, mkuu wa undugunaizesheni Tanzania, mfagilia-wageni-kuliko-wananchi, mcheza-kiduku-mashuhuri, mvivu-wa-kusoma-takwimu, mpigwa-changa-la-macho-mzoefu, mpenda-wanawake, mdondoka-majukwaani, muandaliwa-risala-ili-asome-hata-kwenye-kampeni-vijijini ili azidi kuiharibu Tanzania?:doh: