Elections 2010 Kikwete naye awatukana CHADEMA?

There are currently 100 users browsing this thread. (20 members and 80 guests)


hivi nyie 80 hamna ID humu? au ni uoga na unafiki
 
Mkuu najaribu kufikiria sakata hili zima na jinsi ulivyo yaainisha hayo unayo yaita "matusi" mawili, ya jk na dickson,
hilo namba moja mbona sio tusi analo tuhumiwa nalo, hebu liweke katika uhalisia wake jinsi alivyo litoa hadi likawa tusi, kusema tu asiyefunzwa na *****............. itaonekana ni methali tu
 
nimekutana na mtu aliyehudhuria mkutano wa JK jana huko mwembe yanga, anasema majibu kwa JK yatapatikana J2. Kwamba watamuonesha juha ni nani
 
Kama Chadema ni genge la majuha, basi CCM ni genge la wapuuzi,walafi, wazinzi, washirikina,mafisadi,MATAAHIRA, ndiyo maana mwenyekiti wake anaanguka anguka na kuzimika kama yule mdudu KIFAULONGO.
 
kwani jamaa alisema nini exactly..mpaka imeshikiwa bango kiac hiki..ukisoma gazeti la ccm la kiingereza la leo..yaani daily news..maoni ya mhariri na barua toka kwa msomaji..ni vichekesho..hivi huyu editor wa daily news..hajui kuanzia jumatatu boc wake atakuwa Dr. Slaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…