SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
JK ni mwezi mchanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa ndipi huwa ananiudhi huyu kiwete
Anaelezea jinsi anavyopambana na malaria,hasa zoezi la ugawaji wa vyandarua.Ila watu wanaanza kuondoka.Anasema tena ukimwi ni ugonjwa wa kujitakia.
Ameahidi kuijenga barabara ya mtwara-tandahimba-newala-masasi kwa kiwango cha lami.Pia atalipa madeni ya vyama vya ushirika,ili kuwapunguzia mzigo.Bei ya korosho itafikia 1700/- kwa kilo.anazungumzia uanzishwaji wa benki ya wakulima.
Amezungumzia suala la kuwa rais wa kwanza africa kukutana na obama
Some where in Mtwara Mkuu..Tandahimba ndiyo wapi?
huhuhuuuuuuuuamezungumzia suala la kuwa rais wa kwanza africa kukutana na obama
Hata kama vyombo vya habari vinapamba sana kwamba anapata watu wengi, ukweli halisi unaonekana kwenye video kama hii hapa chini. Hivi kwenye jimbo ambalo mgombea ubunge wake alipita bila kupingwa kuna kuwa na watu wachache kiasi hiki kweli? Hebu angalieni hii video ndo mtajua kwamba sifa nyingi kwa JK si za kweli. Sikumbuki ni wapi ambako Slaa alikuwa na watu wachache kiasi hiki. Hata yeye Kikwete hapa anaonekana kukata tamaa kabisa.
Video kwa hisani ya blog ya michuzi.