Kikwete: Niliumia sana kundi la TMK kuvunjika, nilimuita Juma Nature Ikulu akakataa kusuluhishwa

Kikwete: Niliumia sana kundi la TMK kuvunjika, nilimuita Juma Nature Ikulu akakataa kusuluhishwa

Jk anaona mbali sana we mtu miaka yake anamaliza degree anaenda kuwa katibu wa ccm huko singida mahali ambapo kufika tu ulikuwa mtihani mzito ila akijua anachokitaka alivumilia sana hadi akafikia lengo kwangu Jk ni mtu ninae muheshimu sana kwenye historia ya Tanzania nikikutana nae nitamuuliza swali moja kisha nitamsikiliza tu.@MSELA WA MANZESE,
 
Sio siri jamani jk ukimsikiliza kwa makini huyu mzee ana maono mazuli anaona mbali mnoo

Maneno ya huyu mzeee kwa watu wenye akili kuna vitu tumejufunza kuhusu maisha ya kwamba "majuto ni mjukuuu" huyu juma nature kama angetulia Leo hiii angekuwa mbalii mnooo britanicca,
 
Kwa kuwa alitaka kusuluhisha Wasanii?

Wasanii ni Raia pia na kazi zao zinakatwa kodi kuendesha Serikal pia


Nawaza Mwamba asiejimwambafai Dr Magufuli akuite Ikulu kukusuluhisha halafu ukatae kwenda Ikulu hahahah
Wallah utalimia meno
 
Back
Top Bottom