Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

Anaiga mbinu ya Obama! US na TZ katika ICTs advancement ni tofauti kabisa! Hivi watanzania walio nje ya nchi wanapiga kura?

Kwa taarifa yako hata hapa JF asilimia kubwa wako nje ya nchi je na wao hawaruhusiwi kujua yanayoendelea Tanzania hata kama hawatapiga kura?
 
Inaweza kuwa sahihi kwa mtizamo wako.Binadamu tunatofautiana katika kutafuta ufumbuzi au kukabiliana na uzushi.

Kwa taarifa yako,I do not follow him,he follows me (and I'm not proud of that).Kum-block kutaninyima fursa ya kusikiza uzushi wake,Kumbuka,ili uweze kujibu hoja mbovu ni lazima uvumilie kuzisikia au kuzisoma.Ukizikwepa utakuwa unampa free pass mtoa hoja mbovu.

asante,ngoja nimutafute.nitawapa fback
 
Back
Top Bottom