Inaweza kuwa sahihi kwa mtizamo wako.Binadamu tunatofautiana katika kutafuta ufumbuzi au kukabiliana na uzushi.
Kwa taarifa yako,I do not follow him,he follows me (and I'm not proud of that).Kum-block kutaninyima fursa ya kusikiza uzushi wake,Kumbuka,ili uweze kujibu hoja mbovu ni lazima uvumilie kuzisikia au kuzisoma.Ukizikwepa utakuwa unampa free pass mtoa hoja mbovu.