akina nani hao mafisadi, ambao mahakama imethibtisha wana hatia? huo ndio utawala wa sheria.Huyu mzee Jk amesema mafisadi ni watuhumiwa na hivyo wanaweza kushinda kesi ndo maana anawapigia kampeni
Bashe je alikuwa mtuhumiwa au alikuwa amehukumiwa?Huyu mzee Jk amesema mafisadi ni watuhumiwa na hivyo wanaweza kushinda kesi ndo maana anawapigia kampeni
anavyo wakanyaga?