Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

HAki ya Mungu swali moja majibu mia moja haki ya nani
 
kwa maendeleo na mabadiliko chagua chadema, tuone kama hiyo amani haitapatikana
 
Mbona wamejaa wazee tu?
Vijana wamekataliwa kushiriki!
 
mAKAMBA YUPO,AMEKAA KAMA MGANGA WA KIENYEJI!!!
 
Lile swali la kuteua MAFISADI kugombea ubunge, ameshindwa hata kulijibu, Yaan bado IQ ya JK NI NDOGO SAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Kuhusu masoko-nilipotembelea Mtwara 2006/2007... wanunuzi hawataki bei ya dira wakanijia kulalamika. nikauliza nikaambiwa cooperatoves zina matatizo
 
Mgombea urais kwa tiketi ya ccm yuko live kwenye vyombo vya habari. Kwa sasa anaongelea kilimo. Maswali kama yalishaandaliwa vile.
 
Swali la kwanza kaulizwa kuhusu hali ya nchi anaanza sema kuna maeneo mvua imeanza kunyesha.
Mwanafunzi wangu wa form IV angeanza kuanalyse politically,economically,socially etc
Ivi enzi zile ansoma maswali ya essay yalikuwa hayapo
 
Huyu mzee Jk amesema mafisadi ni watuhumiwa na hivyo wanaweza kushinda kesi ndo maana anawapigia kampeni
akina nani hao mafisadi, ambao mahakama imethibtisha wana hatia? huo ndio utawala wa sheria.
 
Hebu angalia anavyojibu maswali hayana convincing power. Halafu anaongea kwa kutojiamini
 
Sikia jibu la kikwete kwa swali hili:
"mh.umezunguka nchi nzima kwenye kampeni zako,je hali ya nchi ipoje"?
Jibu alilotoa kikwete:nimekutana na mvua geita,
jamani,hivi huyu ndiye anayetaka kuwa rais?anashindwa kuzungumzuia nyu,ba za tembe alizoziona dodoma na singida?umasikini wa kupindukia vijijini?yeye ameona mvbua tu yua geita,duh!huuuuiii!!!
 
JK yuko live ITV... Swali la kwanza ameulizwa na mshereheshaji kuwa anaonaje hali ya nchi baada ya kuizungukia takriban majibo yote... akajibu kisanii kuwa atashinda kwa kishindo kwakua wananchi wanahamasa kubwa

swali la pili ameulizwa na susan mungi kuwa anawapigia kampeni wabunge wenye kesi mbaya mahakamani ... Jk anajibu kuwa pengine hao watuhumiwa watashinda kesi...

Swali na tatu ameuli Rainfred masako kuwa 80% ya watanzania wamejiajiri ktk kilimo je ktk miaka mitano iliyopita amewafanyia nini? JK anajibu kuwa vyama vya ushirika vimekufa, na kuwa kilimo cha kutegemea mvua haifai na kuwa amejikita kuwasaidia... serikali itabeba madeni ya vyama vya ushirika!!! inaonekana swali alipewa mapema kwani anaelezea issue za masoko ...
 
Dakika kumi anajibu kwa nini wakulima wanauza mazao kwa bei wanazopenda wanunuzip- mama yangu huyu ni kilaza sana na hajui kabisa midahalo
 
JK-Tumeanzisha stakabadhi ghalani na tumelipa madeni ya cooperatives. kuna mazao hayao kwenye vyama vya ushirika mfan mahindi lkni hifadhi ya taifa inanunua
 
Back
Top Bottom