Elections 2010 KIKWETE: Rais asiyeona aibu kutembea na uchafu

Heheeee bangi ile ile kwa muuzaji yuleyule, ila this time bangi inauziwa polisi...bei yake sasa
 
jamani ngoja niwape hiki kisa: namfananisha Jakaya Kikwete na yule Raisi wa Liberia aliyeuawa Bw. William Tolbard. Huyu bwana alikuwa na mawaziri na wakuu wa serikali kama 23 ambao ni ndugu zake. Alikuwemo mwanaye wa kike ambaye alikuwa waziri mdogo wa elimu. Mdogo wake waziri wa fedha. Huyu mdogo wake alikuwa ni muingizaji mkuu wa mchele nchi i liberia. Haikuishia hapo, alinunua ndege ya raisi wakati watu wanakufa na njaa kama ilivyokuwa kwa fisadi Mramba aliyewatangazia watanzania wale majani aweze kununua ndege ye raisi Mkapa. Vilevile walikuwemo ndugu wengine ambao walikuwa mabalozi wa liberia nchi za nje. Wananchi walikosa imani, majeshi yakakosa imani naye. zaidi ya moja ya tatu ya uchumi wa liberia wakati huo (GDP (market price-of USD 220 million) ulikuwa unamilikwa na watu wake.. HII ni kama hapa tanzania na akina lowasa, masha, rostam azizi japo ni marafiki tu. Sasa angalia kivumbi kinakuja. January Makamba, Hussein mwinyi, Ridhiwani Kikwete. WA SOKOINE NA NYERERE SINA NAO UGOMVI MAANA BABA ZAO HAWAKULIIBIA TAIFA HILI. Wapo wengine kama akina lucy mayenga ambaye alikuwa no demu wa mzee wakati akiwa waziri. Vicky Kamata (pweza), Abdallah Ali Hassan mwinyi.. Thanks for Pinda kwa kuondoa jina la mwanao viti maalum. Kuna wengine kama akina mhonga, yule dada wa uhuru ambaye form four alipata division four ya 32 lakini anajipakazia kwamba ana elimu ya chuo- ESTER BULAYA. hUYU KAACHANA NA MUMEWE KWA SABABU YA VIGIGO WA CCM LUMUMBA.. WAMEMKAZA KAMA JAMVI LA WAGENI MUMEWE KAAMUA KUACHIA NGAZI.. HIYO NDO NATURE YA gold diggers. makongoro mahanga na kimke chake Grace Michael wa Majira nao njama zao ni kurithishana madaraka.. Mke wa Mahanga anajua kama mumewe anasambaza vile vitu vyake vya mwilini. na huyo megji eti mama mkwe.. hii ni tolbard style.... hata mwanae yule mdogo yumo ndani ya chipukizi.. japokuwa ni haki yao ila watanzania na sisi tumezidi mno na upambe. akigombea tu mtoto wa kigogo basi kila mtu anataka kuwa mpambe wake.. tujifunze kwa chiruba alitokea kwenye ukata miwa morogoro hadi raisi. Da Silva wa brazil naye alikuwa shoe shiner. more are coming soon!!!! TUKIMFANYIA JK YALE YA TOLBARD NI LAWAMA KWELI JAMANIIII? HAKUNA HATA MKURYA YOYOTE JESHINI AJITOLEE KUFA KIUME.............
 
Ukiona hivyo kaka vuta soksi yako ikae sawa hizi ni saa za majeruhi chukua chako map.................................. wenye mikakati si wanajulikana?
 
Tunachojifunza ni kwamba hakuna mabadiliko yoyote yatakayokuja Tanzania
 
tanzania kwa mtindo huu.......kwishne

moyo napata GANZI :nono:
 
mabadiliko hayakufanyika lakini tunategemea mabadiliko.. wapi na wapi
 
Kweli nyie kiboko, hivi bwana mkubwa huwa anasoma jamii forums? au hamjui, maana kama anasoma anajisikiaje au hajali anachukulia poa tu.
 
Nikuulize swali bwana matawi.
Kwa mfano wewe ungekuwa rais na mama mkwe wako anahitaji umteuwe awe mbunge hebu niambie ungemtosa?
Usifanye mchezo na mama mkwe wewe.
Mkuu Makalio ya sufuria hayaogopi moto
 

Kwani JK alishawahi kuwa msafi?
 
tehetehetehetehetehetehetehe Unasikitika nn?? Kwani 11 eleven ya Mafisadi wa EPA na Mkwere c yumo??? Pesa za EPA ndizo zinasabisha huyu Dr Feki ashindwe kuongoza maana ndizo zilimpleka Kivukoni pale kuwa mpangaji.

Wanajuana hawa. Analipa fadhila
 

mkubwa umenifumbua macho:car:
 
Nikuulize swali bwana matawi.
Kwa mfano wewe ungekuwa rais na mama mkwe wako anahitaji umteuwe awe mbunge hebu niambie ungemtosa?
Usifanye mchezo na mama mkwe wewe.

yaani mama mkwe wako aje akupigie saluti? adabu gani hiyo!! watu wa pwani mna vituko sana.
 
Kuna uchafu mwingine upo 'within' sasa ni lazima atembee nao kwani hivyo ndivyo alivyo!
 
Angekua kweli ni kiongozi mwenye aibu yoyote usoni basi hakuna hata mmoja wetu ambaye angetegemea kumuona akichum kwenye ndege tena eti kuungana na Mugabe kwenda kutatua changamoto za uchakachuzi wa kura na Bw Gbagbo nchini Ivori Coast wakati nyumbani kwao ni mapinduzi wakati wowote.
 
Kweli nyie kiboko, hivi bwana mkubwa huwa anasoma jamii forums? au hamjui, maana kama anasoma anajisikiaje au hajali anachukulia poa tu.

wi donti kea ifu hi rids o noti wi a folowingi ze futiprintisi ofu wikiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…