Jamani Wazalendo wa nchi tunachotakiwa kufahamu sasa ivi ni kwamba nchi yetu ishavamiwa na viwavi wala maisha ya wanyonge, cha msingi ni kumnenepesha mmojawetu ili aweze kupata nguvu ya kulingilia pori kwa kujitoa mhanga walau awapunguze hao viwavi la sivyo tutakufa na njaa!! Kwa lugha ya kwetu naamanisha ivi kilichobakia si suala la kuwashabikia na kuwaelezea hawa watu jamii ya Kikwete kwa kuwafananisha na wengine, yaani hawa hawafananii hata kidogo, kiukweli ni kwamba wao wamewazidi hata hoao akina Tolbard, tanzania yetu haifananii na Liberia ata kidogo wala nchi yoote apa Afrika, Tukubali kwamba kikwete na wenzake si wajanja ata kidogo mi ata sjui huo udokta wanaojiita wameutoa wapi, na hilo nalo km linafaa kujadiliwa bungeni ingefaa likajadiliwa ili tujue na tufahamu hao viongozi chimbuko la elimu zao ni wapi, maana ukilinganisha uzito wa elimu wanazojiita nazo haziendani na uhalisia waliomo na wanaotutengenezea sisi. Watanzania tuweni macho, yaaani kama ingewezekana tutafute njia mbadala tena ya haraka sana ya kuajiri wafanyakazi wapya serikalini kuanzia Rais mpaka ngazi ya kitongoji kwa upya!!! Maana wale waliomo hawafai wote! Hawana qualification ata kidogo za kutufanyia kazi maofsini kwetu. SHIME WATANZANIA WOOOOOOOTE!!!!!!!!!!!!!