Kikwete: Ravalomanana was revoluted!

Kikwete: Ravalomanana was revoluted!

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
773
Jamani leo nimesikia kiingereza hicho kwenye taarifa ya capital television leo saa tatu na nusu. Hicho kiingereza ni sahihi? Naomba kusadiwa
 
neno sahihi kabisa hilo. ni simple past participle ya neno revolution (revolutus kwa kilatini) (A forcible overthrow of a government or social order for a new system).
 
Watanzania tujiwekee utaratibu wa kujisomea, mbona ni neno la lawaida sana, wewe ulitaka asemaje?????????. Asante mwalimu wangu kwa kumuelimisha ili ajue kuwa hata kiingereza kina nyakati mbalimbali.
 
Check na Salma Kiwete au dogo Riz1 huenda ameongea ki-kwere
 
Revoluted is not a word in context, maybe he meant revolted kwa accent ya Msoga.
 
Watanzania tujiwekee utaratibu wa kujisomea, mbona ni neno la lawaida sana, wewe ulitaka asemaje?????????. Asante mwalimu wangu kwa kumuelimisha ili ajue kuwa hata kiingereza kina nyakati mbalimbali.

"Revoluted" in this context ni neno la kawaida kwa kamusi gani?

If he was revoluted, was he the subject or the predicate?
 
Mbona tunakuwa wapumbavu namna hii? Mnaompinga Oil Chafu hicho kiinglish cha wapi hicho? Hizo shule zenu za Kata ni janga la kitaifa! Eti "Revoluted". Jamani hilo neno halipo kama Kikwete kalisema ni aibu yake-aibu yetu! Kama alimaanisha kupinduliwa angesema "Overthrown" MPUITI rudi darasani tena na ukasome Kiinglish kwa bidii kabisa! Umetia aibu!
 
neno sahihi kabisa hilo. ni simple past participle ya neno revolution (revolutus kwa kilatini) (A forcible overthrow of a government or social order for a new system).

Ee bwana ! Unachapia hata kilatini? Acha kudanganya! Hakuna cha nini wala nini, amekosea msamiati, ametumia vocabulary mbovu!
 
Tatizo si past tense . Swala hiyo sentensi ni sahihi?
your wrong mpendwa!
Je kwa mtu kuondolewa madarakani hilo neno ni sahihi kwa kingereza?
Je neno revoluted linaweza ikatumiaka kwa mtu?

Watanzania tujiwekee utaratibu wa kujisomea, mbona ni neno la lawaida sana, wewe ulitaka asemaje?????????. Asante mwalimu wangu kwa kumuelimisha ili ajue kuwa hata kiingereza kina nyakati mbalimbali.
 
Hata kama angekuwa amekosea nisingemlaumu, Kiingereza ni lugha yake ya tatu na wafahamu wengi tu hata Wazungu wa nchi nyingine nje ya UK na Marekani hukosea sana tu.

Hata Kiswahili humu ndani wengi wetu huchapia sana tu maneno yenye 'a' tunaweka 'ha', yenye 'ra' tunaweka 'la'.
 
Ee bwana ! Unachapia hata kilatini? Acha kudanganya! Hakuna cha nini wala nini, amekosea msamiati, ametumia vocabulary mbovu!

kwani raisi akiondolewa madarakani kwa mapinduzi ( kijeshi au raia) tunaitaje kwa kingereza?
 
Tatizo si past tense . Swala hiyo sentensi ni sahihi?
your wrong mpendwa!
Je kwa mtu kuondolewa madarakani hilo neno ni sahihi kwa kingereza?
Je neno revoluted linaweza ikatumiaka kwa mtu?

alichoongea ni kwa ujumla lakini kama mapinduzi hayo ni ya kijeshi basi angozea neno millitary coup mwisho wa sentensi alioongea.
 
Kikwete has a solid background as Diplomat and Minister of Foreign Affairs among others, therefore, you can rest assured he knows what he's talking about in that kind of context and chooses his words carefully.

Mtu ana experience kubwa na ndefu ya kukutana na all kinds of top World leaders in every continent and country on the planet, kwa hiyo hamna sababu ya lugha yake kuwa tatizo, and he's prob one of the most (if not the most) confident individuals in the whole of Tanzania. Respect that!

Wengi wenu mngewekwa kwenye nafasi yake, mngeishia na kigugumizi na kujambajamba tu kwenye suruali.
 
I second that, i'm sure wengine wangeishia kusema vitu kama "manufacturing teachers" SMH
 
Kikwete has a solid background as Diplomat and Minister of Foreign Affairs among others, therefore, you can rest assured he knows what he's talking about in that kind of context and chooses his words carefully.

Mtu ana experience kubwa na ndefu ya kukutana na all kinds of top World leaders in every continent and country on the planet, kwa hiyo hamna sababu ya lugha yake kuwa tatizo, and he's prob one of the most (if not the most) confident individuals in the whole of Tanzania. Respect that!

Wengi wenu mngewekwa kwenye nafasi yake, mngeishia na kigugumizi na kujambajamba tu kwenye suruali.

Pumbafu....kwa taarifa yako u diplomat haujamsaidia ndo maana brussels walimcheka kwenye energy conference aliposema madam chairmen..jk hajui kiingeteza
 
Back
Top Bottom