Kikwete vs Viongozi wa Dini

Kikwete vs Viongozi wa Dini

soyuz

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
155
Reaction score
60
JK akizungumza kwny mkutano wa kamati ya amani ya DSM alielezea kusikitiwa, kuhuzunishwa na kufadhahishwa na tamko la TCF la kuipinga katiba pendekezwa na m/kadhi. Kwa kwel wanaCCM wanatatizo kubwa sana la 'double standard' na kuwadhani wananchi hawaelewi kiasi cha kuwa zuzu.

Je ni nani mwanzilishi wa kutumia taasisi dini kukataa katiba pendekezwa?

Waanzilishi ni waliokua wakilishi wa jumuiya za Kiislam na baadhi ya waumini wao kwny BMK walipoazimia kuikataa "kijarida cha Chenge" kama serikali haitaridhia m/Kadhi. Waliweka msimamo wao wazi watapiga kura ya hapana ikiwe m/Kadhi haitakuwepo. Cha kusikitisha si WM Pinda wala Serikali yake wala CCM waliong'aka. Je iweje nongwa ikiwa TCF wakihamasisha kura ya hapana?

Nn CCM wanachokosea?
Serikali ya CCM inataka kujinufaisha kisiasa zaidi kwa kutumia masuala ya kidini huku JK akijua na kukiri fika hali ya amani iko shakani na taifa liko majaribuni. Wanajua fika na tena pasi na shaka dawa ilikwishapatikana tena kitambo nayo ni rasimu ya Warioba(Rasimu ya tume ya mabadiliko ya Katiba).

Nn mapendekezo yangu?
Taifa tuachane na mambo ya dini kama ilivyoshauri kamati ya Warioba. Kama taifa tujikite kwenye ujenzi wa taifa letu maskini na linalokabiliwa na changamoto nyingi pamoja na maadui umaskini, ufisadi, maradhi,ujinga na utumiaji mbaya wa madaraka.

Hitimisho. Amani iliyopo itaendelea kuwepo isipokua tu kwa uzembe na maksudi ya serikali ya CCM kulinda maslahi na washirika wao bila kujali mustakabali na maslahi mapana zaidi ya taifa. Tusisahau pasipokua na haki hakuna amani

Wasalaam!
 
Sasa mbona mambo yanakuzwa na waoviongozi jamani! jambo lolote huwa lina wanao kubari na wanao kataa, kwakawaida wao watulie kama wanataka kura za ndiyo wahamasishe wananchi kupata niyo, wale wanao pinga nawao waendelee kuhamasisha kura ya hapana, lakini kuleta mambo ya amani, kuhuzunishwa utadhani katiba ni kitabu cha mungu jamani hata kitabu cha mungu wapo wanao kipinga. MSITUHARIBIE NCHI JAMAN WENGINE NDO TUNAANZA KUWA NA MAJUKUM
 
Kwani hayo mapendekezo kwenye hiyo rasimu ya katiba hayatakiwi kupingwa?! Kwa nini asikitishwe, afadhaike, na kuhuzunika kiasi hicho?!!!

The bottom line is that the president is WEAK! Ila jana kaonyesha seriousness of some sort. Had this reaction been observed right from when he assumed power, we would not have been in this type of misunderstandings!
 
Labda JK hajui kitu . Kwamba tangia tamko limetoka Kanisa Katoliki Tanzania tunakumbushwa kila siku kupiga kura ya HAPANA pamoja na Pengo kuja na hoja zake za u CCM lakini moto unawaka tu . Kitaeleweka in the end.
 
Well said man! I think u have hit the nail on the head!!
 
kama rais wa maaskofu ameipinga waumini itakuaje hapana mwanzo mwisho zaidi ya mwanasheria wa zanzibar mzalendo wa kweli
 
kwani hayo mapendekezo kwenye hiyo rasimu ya katiba hayatakiwi kupingwa?! Kwa nini asikitishwe, afadhaike, na kuhuzunika kiasi hicho?!!!

yanayotakiwa kupingww ni hayo ya rasimu ya warion which is no longer existing kama kuna hoja nyingime weka bhana.
 
Labda JK hajui kitu . Kwamba tangia tamko limetoka Kanisa Katoliki Tanzania tunakumbushwa kila siku kupiga kura ya HAPANA pamoja na Pengo kuja na hoja zake za u CCM lakini moto unawaka tu . Kitaeleweka in the end.

:violin:sawa sawa na mbuzi kumpigia gitaa, huo moto uwake uzimike hampati kitu na Kayiba itapita kwa kishindo cha Tsunami, we unapoteza muda na kujaza server humu ndani na mb zako 8 hizo.
 
JK akizungumza kwny mkutano wa kamati ya amani ya DSM alielezea kusikitiwa, kuhuzunishwa na kufadhahishwa na tamko la TCF la kuipinga katiba pendekezwa na m/kadhi. Kwa kwel wanaCCM wanatatizo kubwa sana la 'double standard' na kuwadhani wananchi hawaelewi kiasi cha kuwa zuzu.

Je ni nani mwanzilishi wa kutumia taasisi dini kukataa katiba pendekezwa?

Waanzilishi ni waliokua wakilishi wa jumuiya za Kiislam na baadhi ya waumini wao kwny BMK walipoazimia kuikataa "kijarida cha Chenge" kama serikali haitaridhia m/Kadhi. Waliweka msimamo wao wazi watapiga kura ya hapana ikiwe m/Kadhi haitakuwepo. Cha kusikitisha si WM Pinda wala Serikali yake wala CCM waliong'aka. Je iweje nongwa ikiwa TCF wakihamasisha kura ya hapana?

Nn CCM wanachokosea?
Serikali ya CCM inataka kujinufaisha kisiasa zaidi kwa kutumia masuala ya kidini huku JK akijua na kukiri fika hali ya amani iko shakani na taifa liko majaribuni. Wanajua fika na tena pasi na shaka dawa ilikwishapatikana tena kitambo nayo ni rasimu ya Warioba(Rasimu ya tume ya mabadiliko ya Katiba).

Nn mapendekezo yangu?
Taifa tuachane na mambo ya dini kama ilivyoshauri kamati ya Warioba. Kama taifa tujikite kwenye ujenzi wa taifa letu maskini na linalokabiliwa na changamoto nyingi pamoja na maadui umaskini, ufisadi, maradhi,ujinga na utumiaji mbaya wa madaraka.

Hitimisho. Amani iliyopo itaendelea kuwepo isipokua tu kwa uzembe na maksudi ya serikali ya CCM kulinda maslahi na washirika wao bila kujali mustakabali na maslahi mapana zaidi ya taifa. Tusisahau pasipokua na haki hakuna amani

Wasalaam!

Jamani kama ni wasikilizaji, watazamaji na wafuatiliaji wazuri Rais Kikwete jana alizungumza na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini ya mkoa wa Dar es Salaam ambapo alisema amesikitishwa na tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania, linalowahamasisha waumini wao kupigia Katiba Inayopendekezwa kura ya Hapana.

Akifafanua suala la Mahakama ya Kadhi, Rais Kikwete alisema Serikali ina msimamo wa mambo mawili katika mahakama hiyo.

Kwanza, alisema Serikali haina mpango wa kuianzisha na kuiweka katika Katiba na pili, haihusiki kuiendesha na badala yake, Waislamu wenyewe ndio watakaoiendesha kama wataihitaji.

Kwa msingi huo wa sehemu ya haotuba ya Mhe. Rais jana ndiyo maana katika Katiba Inaypoendekezwa kuhusu masuala ya dini inasema "Uhuru wa imani ya dini Ibara ya 41. (2) Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari kwa mtu binafsi ilimradi hakiuki sheria za nchi. Na (3) Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya Serikali".

Asante Mhe. Rais kwa ufafanuzi huo maana humu JF watu wachache wanawahadaa wenzao kwa kuwa wanaweza kusema na kushawishi, WASOMAJI WA JF WATU WANAOTOA MAELEZO YA KUWAPOTOSHA WENGINE HAWANA NIA NJEMA NA NCHI YAO. TUJENGE NCHI YETU KWA MANUFAA YA SASA NA VIZAZI VIJAVYO USIJIFURAHISHE KWA KUANDIKA TU TAMBUA UNAWEZA KUANGAMIZA NA KUWAPOTOSHA AMBAO WANAAMINI BILA KUFANYA UTAFITI.
 
1. Umeandika na kupresent hoja yako vema nakukubali kwahilo.

2. Umeteleza kukanusha upuuzi wa serikali kuchanganya umma.

- Serikali inaongozwa na ccm

- Mwanasheria mkuu ni wa serikali ya ccm

- Waziri mkuu ni wa serikali ya ccm

Je hujawasikia hawa watu mara kadhaa wakinadi hoja ya mahakama ya kadhi? nikweli hawatambuwi Wanavunja katiba

na kuwachonganisha raia? - Huu ujinga unaofanywa na serikali ya kikwete utatufikisha pasipo na staha wala amani.
 
A
Kwani hayo mapendekezo kwenye hiyo rasimu ya katiba hayatakiwi kupingwa?! Kwa nini asikitishwe, afadhaike, na kuhuzunika kiasi hicho?!!![/QUOTE

ACHENI HIZO BHANA, YEYE KAMA KIONGOZI MKUU WA NCHI HII NA KAMA MWANADAMU LAZIMA ASIKITISHWE NA MOVIE HIYO YA AJABU AMBAYO ILIKUA INATENGENEZWA KUANZA KULETA UDINI KWENYE SUALA LA MSINGI NA AMEONYESHA UIMARA WAKE KWA KUWASOMEA VIFUNGU VYA IBARA YA 41 NA HILO NALO WALIMEZE KAMA HAWATAKI WAHAMIE SOMALIA
 
1. Umeandika na kupresent hoja yako vema nakukubali kwahilo.

2. Umeteleza kukanusha upuuzi wa serikali kuchanganya umma.

- serikali inaongozwa na ccm

- mwanasheria mkuu ni wa serikali ya ccm

- waziri mkuu ni wa serikali ya ccm

je hujawasikia hawa watu mara kadhaa wakinadi hoja ya mahakama ya kadhi? Nikweli hawatambuwi wanavunja katiba

na kuwachonganisha raia? - huu ujinga unaofanywa na serikali ya kikwete utatufikisha pasipo na staha wala amani.
adolay huo ujinga ni wako mwenyewe za kuambiwa changanya na zako kwani wewe hujui kusomaaaa, katba yetu ya mwaka 1977 imesema no to mahakama ya kadhi, na hii katiba pendekezwa imesema no again ibara ya 41 wewe huoni au unafanya makusudi
 
1. Umeandika na kupresent hoja yako vema nakukubali kwahilo.

2. Umeteleza kukanusha upuuzi wa serikali kuchanganya umma.

- Serikali inaongozwa na ccm

- Mwanasheria mkuu ni wa serikali ya ccm

- Waziri mkuu ni wa serikali ya ccm

Je hujawasikia hawa watu mara kadhaa wakinadi hoja ya mahakama ya kadhi? nikweli hawatambuwi Wanavunja katiba

na kuwachonganisha raia? - Huu ujinga unaofanywa na serikali ya kikwete utatufikisha pasipo na staha wala amani.

Mwasi kakupa ukweli hapo sio kila kitu ukiambiwa Unameza tumia akili wewe na wenzio Rais katika nchi ndio top keshasema sasa unataka nini wewe kunywa sumu basi.
 
jk akizungumza kwny mkutano wa kamati ya amani ya dsm alielezea kusikitiwa, kuhuzunishwa na kufadhahishwa na tamko la tcf la kuipinga katiba pendekezwa na m/kadhi. Kwa kwel wanaccm wanatatizo kubwa sana la 'double standard' na kuwadhani wananchi hawaelewi kiasi cha kuwa zuzu.

Je ni nani mwanzilishi wa kutumia taasisi dini kukataa katiba pendekezwa?

Waanzilishi ni waliokua wakilishi wa jumuiya za kiislam na baadhi ya waumini wao kwny bmk walipoazimia kuikataa "kijarida cha chenge" kama serikali haitaridhia m/kadhi. Waliweka msimamo wao wazi watapiga kura ya hapana ikiwe m/kadhi haitakuwepo. Cha kusikitisha si wm pinda wala serikali yake wala ccm waliong'aka. Je iweje nongwa ikiwa tcf wakihamasisha kura ya hapana?

Nn ccm wanachokosea?
serikali ya ccm inataka kujinufaisha kisiasa zaidi kwa kutumia masuala ya kidini huku jk akijua na kukiri fika hali ya amani iko shakani na taifa liko majaribuni. Wanajua fika na tena pasi na shaka dawa ilikwishapatikana tena kitambo nayo ni rasimu ya warioba(rasimu ya tume ya mabadiliko ya katiba).

Nn mapendekezo yangu?
taifa tuachane na mambo ya dini kama ilivyoshauri kamati ya warioba. Kama taifa tujikite kwenye ujenzi wa taifa letu maskini na linalokabiliwa na changamoto nyingi pamoja na maadui umaskini, ufisadi, maradhi,ujinga na utumiaji mbaya wa madaraka.

hitimisho. Amani iliyopo itaendelea kuwepo isipokua tu kwa uzembe na maksudi ya serikali ya ccm kulinda maslahi na washirika wao bila kujali mustakabali na maslahi mapana zaidi ya taifa. Tusisahau pasipokua na haki hakuna amani

wasalaam!

hapa hakuna hoja wana jf tusipoteze muda.
 
hapa hakuna hoja wana jf tusipote������������ze muda.

Unaelewa Kinachojadiliwa?????

Unatambuwa kweli wewe?

Ukisikiwa Wenzentu wakenya na waganda wanatucheka watanzania nikwasababu ya watu kama wewe.
 
adolay huo ujinga ni wako mwenyewe za kuambiwa changanya na zako kwani wewe hujui kusomaaaa, katba yetu ya mwaka 1977 imesema no to mahakama ya kadhi, na hii katiba pendekezwa imesema no again ibara ya 41 wewe huoni au unafanya makusudi

Nadhani hujui unaongelea nini na unajadili nini

Kwa unyeti wa jambo hili imemlazim kikwete kutoka mafichoni kuja kuinusuru ccm.

1. Waislam wanasema hapana

2. Wakristu wanasema hapana

- Uchaguzi umekaribia na hali nitete, wajinga kama nyinyi hamisaidii ccm wala kikwete manzidi kuiangamiza.
 
Back
Top Bottom