johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais mstaafu Dr Mrisho Jakaya Kikwete aliwahi kusema " Za kuambiwa changanya na za kwako"
Hii kauli inaishi katika kila jambo kwenye maisha yetu
Tunakumbushana tu.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee hamjambo hapo Machame?Wewe Mataga vaa barakoa nawa mikono kwa maji tiririka.
Comrade hali ni tete hapa kwenu Makete.Bwashee hamjambo hapo Machame?
Chukua tahadhari.
Bwashee hamjambo hapo Machame?
Chukua tahadhari.
Bwashee unaendelea na nyungu au vipi? Mbona mwenyekiti hajaja hata kumuaga Katibu wake mkuu hapa Ben Mkapa Hosipital Dodoma?Bwashee hamjambo hapo Machame?
Chukua tahadhari.
Bwashee unaendelea na nyungu au vipi? Mbona mwenyekiti hajaja hata kumuaga Katibu wake mkuu hapa Ben Mkapa Hosipital Dodoma?
Yeye anahisi wanaomshauri ni saa mbovu. Kumbe saa mbovu ni yeyeLabda amechukua ushauri wa mazwazwa kwetu na ameji lockdown tayari.
Yeye anahisi wanaomshauri ni saa mbovu. Kumbe saa mbovu ni yeye
Mkumbushe yule jamaa, naye alikuwepo.Rais mstaafu Dr Mrisho Jakaya Kikwete aliwahi kusema " Za kuambiwa changanya na za kwako"
Hii kauli inaishi katika kila jambo kwenye maisha yetu
Tunakumbushana tu.
Maendeleo hayana vyama!
Rais mstaafu Dr Mrisho Jakaya Kikwete aliwahi kusema " Za kuambiwa changanya na za kwako"
Hii kauli inaishi katika kila jambo kwenye maisha yetu
Tunakumbushana tu.
Maendeleo hayana vyama!
Pamoja na madhaifu yake aliacha mafunzo mengiRais mstaafu Dr Mrisho Jakaya Kikwete aliwahi kusema " Za kuambiwa changanya na za kwako"
Hii kauli inaishi katika kila jambo kwenye maisha yetu
Tunakumbushana tu.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1705525