Kila akipika ananitengea

Kila akipika ananitengea

Kwa nini uliacha kusomea upandri!

mkuu kwenye red ni nini?

narudi kwenye mada wewe jamaa sijakuelewa huo upadre umeacha au bado unasomea?
huna wito wewe make mawazo yako siyo ya kitume nyie ndomnalawiti watoto!
halafu mnachafua kanisa!
rudi uraiani uoe mkuda wewe!
 
Siajabu anakupa tu kwa upendo,

basi hapo wewe ushaanza kumpendapenda,sijui upadri uataendelea au ndo kwishinei

usije tu ukaanguka kiroho.

Huyu ameshanguka kwani "Roho Mtakavitu" ameshamtawala rohoni mwake kwani alikuwa anasomea upadri ila ameshaachana na upadri.

kATIKA HALI ISIYOKUA YA KAWAIDA JIRANI YANGU, bINTI NZURI HUWA ANANIPA CHAKULA ila hasemi chochote.Naogopa usikute ananipenda kimapenzi.

Nilikua nasomea upadri na naogopa asijenimiliki, angali bado sijafanya maamuzi

Naombeni ushauri
 
eti katika hali isiyo kuwa ya kawaida... wwachoyo utawajua tu!
 
binti wa watu kafunzwa ukarimu.

atakuwa katoka Tanga huyo....ivi kuna ubaya gani mbona mkuu apo anajistukizia....si aendelee kula ubwabwa tu...mambo yatajiseti
 
kATIKA HALI ISIYOKUA YA KAWAIDA JIRANI YANGU, bINTI NZURI HUWA ANANIPA CHAKULA ila hasemi chochote.Naogopa usikute ananipenda kimapenzi.

Nilikua nasomea upadri na naogopa asijenimiliki, angali bado sijafanya maamuzi

Naombeni ushauri

Mapadri wasikuhizi yaani hata ufunuo hawana, badala yake wanapenda kuwafunua wenzao. Sasa Kweli Suala hili kweli ni la mtu kweli kulileta hapa jamvini wakati mtu anawito kabisa wa upadri? Sasa unategemea kila majaribu yatayokufika uombe msaada jamvini? Huna Wito Wewe Waachie Walipata Ufunuo Wa Kazi Hiyo.
 
huyo akifika kwake upadri anauacha dukani kwa mangi
 
Anaonekana anakujali sana, ni vizuri, akili kichwani mwako, sijajua moyo wako unajisikia vipi unapomuona, chagua moja!
 
wewe mtumishi mbona umefungua huku? Hapa waachie wenyewe, shauri yako utajaingia majaribuni bure!

Huyo binti anakukarimu kwa sababu ww ni mtumishi wa bwana na sio vinginevyo.
 
wewe mtumishi mbona umefungua huku? Hapa waachie wenyewe, shauri yako utajaingia majaribuni bure!<br><br>Huyo binti anakukarimu kwa sababu ww ni mtumishi wa bwana na sio vinginevyo.
 
Back
Top Bottom