Kila aliyeelekezewa kidole na CAG asibakizwe ofisini

Wanatuona wajinga wanadokoa dokoa tu wanapopenda wao, nasi kwa ujinga wetu "tunaridhishwa" na hatua wanazochukua.
Sio kweli kuwa wanatuona ni wajinga, ukweli ni kuwa sisi ni wajinga!.
Huwa naweka rejea ili nisirudie kuhusu ujinga wetu kwenye kitu kinachoitwa the anatomy of stupidity
- https://www.jamiiforums.com/threads...nya-informed-decision-au-ni-ignorance.936332/
-https://www.jamiiforums.com/threads/ikitokea-ccm-ishinde-je-ushindi-huo-ni-kutokana-kuwekeza-kwenye-maendeleo-au-kwenye-ignorance.916388/

-https://www.jamiiforums.com/threads/kuwajibishwa-kwa-prof-tibaijuka-ni-muendelezo-wa-ignorance-at-the-highest-levels-mnashangilia-uji.778527/
P
 
Kwani Mbowe amejikalia wapi?

Kwani Mbowe amejikalia wapi?
Wewe malaya, unafurahi kutupiwa makombo kama mbwa chini ya meza. Watu wanaongea kwa uchungu wewe kutwa kuwakejeli.

Omba Watanzania wasiamke, takataka kama wewe mtakiona. Kwa hakika leo nimekasirika, hivi unapata wapi huu ujasiri?

Siku hizi nashindwa hata kuingia JF! Sababu kuu ni takataka kama wewe! Tik tak tik tak…mwanga utajitokeza tu utake usitake!
 
Kama una uchungu wahi Mloganzila manka 🤩🤩🤩

Au kalambe malimau mmeo analambishwa Asali huko!
 

Kwamba sisi ni wajinga nachelea kukubaliana nawe. Sisi ni hawa hawa tuliokuwa tunakinukisha vilivyo na kina Dr. Slaa.

Sisi ni hawa hawa tukikinukisha barabara na kina Maalimu Seif:

Your browser is not able to display this video.


Anayeruka ruka pale ni joni katika ubora wake.

Nini kimebadilika?

Ukweli ni kuwa tuna matatizo tusiyopenda kuyatamka:

https://www.jamiiforums.com/threads...f-mtikila-julius-malema-au-kina-tutu.2013213/

Siyo siri tunakosa akina Raila waliodhamiria kwa kauli na vitendo.

Tuvielekeze vyama vyetu kunako demokrasia kamili. Viongozi wachaguliwe kujibu matarajio ya wanachama. Wapimwe from time to time kuona kama wanakizi vigezo.

Kama hawakidhi wajiweke pembeni wao wenyewe au wafurushwe mara moja kutoka madarakani kuwapa nafasi wenye utayari. Uongozi si fursa. Uongozi ni mzigo.
 

Hao ni wale walamba asali, wahuni au vijana wa hovyo. Hao wapo kila mahali hata kwa Raila huko.

Hawapaswi kutuvunja moyo bali kutuchagiza kukomaa zaidi.

Hao wanajulikana. Hawana mchango wowote wa maana kwa taifa hili.
 
Pamoja tuanze maandamano yasiyo na kikomo.
 
Pamoja tuanze maandamano yasiyo na kikomo.

Si mbaya kuwa na mawazo kama hayo kama option ya mwisho kama wanajifanya viziwi. Inawezekana:

Your browser is not able to display this video.
 
Hai ni wale walamba asali, wahuni au vijana wa hovyo. Hao wapo jila mahali hata kwa Raila huko.

Hawapaswi kutuvunja moyo bali kutuchagiza kukomaa zaidi.

Hao wanajulikana. Hawana mchango wowote wa maana kwa taifa hili.
🤣🤣🤣
 
Naona CAG huwa anaiaibisha tu serikali KWA KILA mwaka kuimba nyimbo na mwakani wataiba zaidi hawafanywi kitu si mwaka jana wala mwaka juzi
 
Serikali hii imekubuhu kwa rushwa, ufisadi na ubadhilifu was raslimali za nchi,ili kunusuru jali hiii,Raisi Samia vunja hili Baraza la mawaziri ni mzigo mkubwa mno kwa wananchi na sisi was wanyonge hii siyo serikali ya wananchi Sasa imegeuka kuwa serikali ya wanaojenga matumbo yao,ng'oa wote hao,wanajifanya kumsifia Raisi kumbe ni mbwa mwitu mafisadi wakubwa,kwenye hili ndugu Raisi usipepese macho kabisaaaaaaaaaa yaani ni wizi wizi wiziiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…