Kila aliyehusika na kupotea kwa Ben Saanane na Azori Gwanda laana imtafune yeye na kizazi chake

Kila aliyehusika na kupotea kwa Ben Saanane na Azori Gwanda laana imtafune yeye na kizazi chake

Malipo hapa hapa
20220111_200336.jpg
 
We unamjuwa vizuri Mbowe au unaongelea ushabiki? Hivi ukijakutolewa ushahidi utaficha wapi sura yako maana unamtetea kama unamjua kiundani saaaanaaaaaaaaa
Je wewe unamjua kiundani Mbowe?

Tuambie kwa nini aliokolewa na Polisi wa usalama siku ya Mazishi ya Chacha wangwe kule Tarime?

Je kwa nini wananchi wa Tarime walitaka kumdhuru Mbowe msibani?

Kumbuka Kubenea aliekuwa kada mwandamizi na Mbunge wa Chadema, ambaye pia ni mwandishi na mmilikiwa magazeti mahiri ya habari za uchunguzi nchini.

Alisema Mbowe ndie anajua alipo,Ben Saanane!

Nyinyi mnaumia bure ila wenye Chadema yao wanajua siri za chama chao na sio wewe #Iboya2021!
 
mmekazana azori azorii, kila siku azori,je hao mnao wanyooshea vidole mna uwakika wamehusika? kama kahusika huyo mnaemuona malaika je?? alafu kitu kingine kufa kwa waandish wa habar ktk nchi znazolinda maslahi yake na siri zake ni jambo la kawaida sana, cha msingi ni kuwaonya hao waandish kuacha chokochoko za kupambana&kufuatilia system wasizokuwa na uwezo wa kupambana nazo..wakikaa kufanya majukum yao hawapungukiw kitu, dunian kote hata uko USA kwenye Demokrasia waandsh viehelehele kupotea ni kawaida sana..kila mtu afanye jambo kwa maslahi yake na taifa uku akijilinda mwenyewe maana utakapo umia ni shida yako mwenyew hakuna cha laana wala bibi ake nan ilimladi dunian hakuna haki zaid ya mbingun, hivo musitegemee haki kutendeka kwa 100% wala laana zakipumbav izo kutokea.....tulizen machungu
Pathetic


Sent from my N100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom