mmekazana azori azorii, kila siku azori,je hao mnao wanyooshea vidole mna uwakika wamehusika? kama kahusika huyo mnaemuona malaika je?? alafu kitu kingine kufa kwa waandish wa habar ktk nchi znazolinda maslahi yake na siri zake ni jambo la kawaida sana, cha msingi ni kuwaonya hao waandish kuacha chokochoko za kupambana&kufuatilia system wasizokuwa na uwezo wa kupambana nazo..wakikaa kufanya majukum yao hawapungukiw kitu, dunian kote hata uko USA kwenye Demokrasia waandsh viehelehele kupotea ni kawaida sana..kila mtu afanye jambo kwa maslahi yake na taifa uku akijilinda mwenyewe maana utakapo umia ni shida yako mwenyew hakuna cha laana wala bibi ake nan ilimladi dunian hakuna haki zaid ya mbingun, hivo musitegemee haki kutendeka kwa 100% wala laana zakipumbav izo kutokea.....tulizen machungu