ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Itachukua muda kidogo kuanza kuaminiana tena baada ya hata vyombo vya habari vya umma, kutumika kutisha, kusambaza uongo na kujaza hofu na woga.liwepo dawati maalum kila mkoa kupokea malalamiko kwa wote waliotendewa uovu na baada ya hapo hatua zichukuliwe (hatua kweli sio za kisiasa kuziga watu)....
Tukichukua hatua kweli kwa kila mhusika na wale wote waliogusw wakapata haki zao basi itakuwa tumetoa funzo juu ya ujinga huu kujirudia huko baadaye....