liwepo dawati maalum kila mkoa kupokea malalamiko kwa wote waliotendewa uovu na baada ya hapo hatua zichukuliwe (hatua kweli sio za kisiasa kuziga watu)....
Tukichukua hatua kweli kwa kila mhusika na wale wote waliogusw wakapata haki zao basi itakuwa tumetoa funzo juu ya ujinga huu kujirudia huko baadaye....
Unaongea kama huna kichwa. Mkuu siasa za visasi hazijamuacha mtu salama. Sabaya alimuua nani mtaje? Mama samia hawezi kujitenga na uovu wa chama. Kama mnataka hivyo basi kila mtu apambane kivyake tuone nani atapona.