mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Waganga wa kienyeji wamegawanyika katika makundi mawili.
1: Wanaotumia mitishamba kutibu bila kuhusisha mizimu au ramli au ushirikina. Hata nabii isaya aliwahi kutumia mitishamba kumtibu Mfalme Hezekiah. Hata Yesu aliwahi kutumia tope kumtibu kipofu macho.
Sizungumzii hawa...
2: Kundi kubwa LA waganga wanaotumia majini,ushirikina, ramli, kuongeaa na wazee. Hawa wapo dunia nzima sio afrika tu.
Ufahamu sasa
Kila aliyeenda kwa hawa, anamajini. Majini ni malaika wachafu waliofukuzwa mbinguni na mkuu wao ni Ibirisi. Kusema kuna majini wasafi pia ni hila za shetani kuteka watu. Majini hawa wamegawana vitengo vya kumsaidia.
KWA NINI ANAMAJINI?
Kwa Mujibu was Yesu Yohana 10:10 Mwivi haji ila aibe, na kuchinja na kuharibu.
KAZI TATU ZA SHETANI KWA WANAOMUENDEA NI
1: KUIBA
2: KUCHINJA
3: KUHARIBU
Na mwisho kukuua.
Nafuu unayopata kwa kuwaendea ni kukuzubaisha ili mwisho wa Sikua kuue. Shetani hana urafiki wala nia njema na MTU.
UFANYEJE WEWE ULIYEENDA AU NI MGANGA AU MGANGA WA KIROHO ULIYEJIFICHA UKRISTONI AU MISIKITINI?
1: Rudisha Mali zote za kiganga na uamue kumrudia Mungu. Acha kuhudumiwa na shetani. Unakuwa kama jogoo lililoandaliwa Siku yako uliwe.
2: Hakuna jina lingine lolote LA kukusaidia isipkuwa jina LA Yesu. Omba, futa maagano hayo uanze upya.
3: Usiwaonee wivu wachawi, wanaotumia dawa za kiganga. Maana maandiko yanasema ni ili waangamie. Ni kama kumuonea wivu MTU aliyeshiba mabomu tumboni.
Wengi hawatanielewa ila wanajua wanachopitia, wanavyopitia sirini.
Ubarikiwe.