Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Saa hizi una mla shetani akianza kukula usisahau kujuza boss, msaada wa shetani hauendi bure.Huo uwezo ndiyo naongezea na WA kiganga ili vikwazo vinipitie mbali
Maandiko yenyewe yanasema jisaidie nikusaidie.