Kila aliyewahi kwenda kwa waganga wanaotumia ramli anamajini. Hili hapa suluhisho.


Wanapatikana kwa hapa Dar au mpaka mikoani?

Gharama zao zikoje?
 
Jambo ambalo wengi hawajagundua ni kwamba roho ya mpinga Kristo ipo kazini sasa kuliko wakati wowote ule na inafanya kazi kwa karibu kabisa na nabii wa uongo, ndo maana makanisa ya upako, matangazo ya waganga wa kienyeji, wapiga ramli, wasoma nyota, wapunga pepo, matangazo ya kujiunga freemason ili ufanikiwe yametapakaa kila kona. Inachofanya ni kunena kinyume chake Aliye juu, yaani kupandikiza mafundisho potofu yanayolenga kuwadhoofisha Watakatifu wake Aliye juu (watakatifu hapa linamaanisha wale wanaoishi kusudi la Mungu). Na katika kuwadhoofisha Watakatifu wake Aliye juu na kuwafanya mateka atabadili majira na sheria, ndo maana mambo na matukio mapya yanaibuka kila kukicha na sheria kibao zinatengenezwa au kubadilishwa sasa kuliko kipindi chochote kile. Haya mabadiliko ya sheria na nyakati yanalenga kuweka mitego au vikwazo kwa Watakatifu washindwe kuishi na kuenenda kufuatana na makusudi ya Mungu. Ukisoma Danieli 7 utaelewa ninachojaribu kudadavua hapa.​
 
Wasipokuja Washamba hapa na kukuita we ni msabato basi uko vizuri sana Chifu [emoji119]
 
Na nukuu .....kutoka kwenye movie ya
Merlin ...na
Shenala the chronicle.....

" EVERY MAGIC HAS SOME PRICE TO PAY"
 
We mlevi wa gongo acha kuwafananisha malaika na vitu visivyoeleweka, MALAIKA Ni viumbe vitakatifu, havimuhasi muumba wao, na Wala havijawai kumuasi Mungu,

Majini Ni viumbe Kama walivyo binadamu, Kuna majini walevi,Kuna wazinzi, wezi,washirikina (ambao rafiki zao binadamu wachawi),

Wapo pia majini ambao hawana tabia chafu, na kwa binadamu ndio hivyohivyo pia,
 
Umewahi kuishi na Jini safi?

Namba ushuhuda maisha yenu yalikuwaje.
 
Umewahi kuishi na Jini safi?

Namba ushuhuda maisha yenu yalikuwaje.
majini Ni viumbe tu Kama sisi, wapo ambao hawana mambo ya hovyo, na wapo waovu,

Ni Kama binadamu,wapo waovu, wapo wema,
Jini muovu rafiki yake binadamu muovu, wote kwa tabia zao mbaya wanaitwa mashetani, binadamu ukiwa na tabia utaitwa shetani, na jini akiwa na tabia mbaya pia ataitwa shetani
 
Uko sahihi sana,hiki ni kifungo ambacho wengi wanakiingia bila ya kujua madhara yake baadae...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…