Tetesi: Kila anayejiita mzalendo kipimo kiwe kupigwa risasi 38 mfululizo kwenye gari lake au nyumba yake

Tetesi: Kila anayejiita mzalendo kipimo kiwe kupigwa risasi 38 mfululizo kwenye gari lake au nyumba yake

hapana sio mpenz mkuu...
tafadhari kuwa mzalendo
Hahahaaaaa nmekuelewa money
kua mzalendo sio shida, shida ni hicho kipo cha uzalendo alichokileta mtoa mwenye hii thread.

Maendeleo hayana chama
 
hujaona jana alimyembelea muhimbili anaumwa?mama kapata stroke..sasa meseji za wana ungecheka ufe...uchek uzi upo humj..akafu inaonekana anaumia sana kumuon mamake vule usoni anajieleza kbs...sasa badala watu wampe pole wanampa pole lisu na wanamkumbuka saa8[emoji23][emoji28][emoji111]
Dah sijauona huo uzi aiseee ,ngoja niutafute ,na sikuwa najua mama yake ni mgonjwa ,simuombei mabaya mama yake ila huyu jamaa akitia maguu kukusalimia jua upo kwenye wakati mgumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni Israel mtoa roho binafsi sikupenda aende kumwona ila nilijua ni mgonjwa muda mrefu alianzia mwanza kulazwa nampenda mama kabisa ila mwana duuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea umepigwa kwa namna hipi.unaweza ukapigwa pasipo na wewe mwenyewe kulidhia au kuvamiwa tu.hapo autokua mzalendo.au unaweza ukaamuru mwenyewe upigwe hzo risasi.huu ndio ozalendo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom