Dogo acha unoko.....
..hata uninunulie nyama!!!
.... hahaahhhhaah ! badili tabia mdada,usitarajie kuvuna maembe kwenye mchungwa ingawa yote ni matunda.....Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa
..muongozo tafadhali,mchumbaaaaa ? mumee ?, sifa za hawa wawili ni tofauti..hujambo???
na mimi natafuta muchumba ujue
..muongozo tafadhali,mchumbaaaaa ? mumee ?, sifa za hawa wawili ni tofauti..
wewe unazo zote hizo sifa?
..ya mume tu ...ya mchumba haidumu,ikizidi sana uhusiano wa mwaka tu chali... mume for life.. uantaka yupi ??
ha ha i see
hata mie ujuwege sinaga uchumba wa kudumu not more than a year nakupiga chini au nikikupenda penda sana nakupa likizo kwanza ya miezi kadhaa kisha nakurudia
una sifa za mume??
weka bandiko basi tuapply mi nimeshaandaa cv kabisa kwa competition!!!!!
...haaahaha..we mkaree, usije ukanikimbia na mimi ...
Lol ...utakuwa unakasoro miaka yote hii ulikuwa wapi?na hiyo ndo adhabu yake cos atakayekuoa atakutumia miaka saba tu badae unaanza kuitwa bibi na yeye anaanza kujirusha na viyoso!tayari ushabugi ramani yani hata ukiolewe do expect mumeo atakuwa anakucheat kwa wasichana wadogo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa umri ulionao, na masherti ya umri uliyonayo basi wewe tegemeaHili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa
kwa huo umri wako, we subiri aliyefiwa na mkewe.
Kuna ukweli huwa hamuukubali, lakini alichosema Mchaichai_dawa ni kweli. Sindano inauma, lakini ina dawa..Kauli za namna hii ni dhihaka na maudhi hata mbele ya Mungu, JF inaheshimika kwa michango na ushauri maridhawa, mwenzetu we wa wapi?
Kauli zenye ufu kama hizi si za nyumba hii, tambua utu wako kwa kuonesha ukomavu wako wa fikira!
hujambo???
na mimi natafuta muchumba ujue