Kila anayenitongoza namzidi umri

Kila anayenitongoza namzidi umri

Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa
.... hahaahhhhaah ! badili tabia mdada,usitarajie kuvuna maembe kwenye mchungwa ingawa yote ni matunda.....
 
Wataka msaada gani bibie? Kama ni temporary nipm tuone nitakusaidia vipi, hakutaaribika jambo miye mkongwe mwenzio.
 
Una mvuto wakutosha na ndio maana ze serenget boys wanakutokea sana maamuz ni yako kama kuna aliyetayar kukuoa poa tu usiangalie makunyanz upo hapo shost?
 
sorry, mi ningependa kujua what happened mpaka umefika 35. Kuolewa na mwanamume unayemzidi umri ni very risky, wanakuja kusumbua sana baadaye! hawantu waliozidi wake zao umri, unasikia case zisizoisha humu, fikiria ukimzidi. Na mara nyingine anaweza develop inferiority complex, kila utakachofanya atakuambia kwasababu ye mdogo, japo mwamuzi wa mwisho ni wewe mwenyewe.
 
..ya mume tu ...ya mchumba haidumu,ikizidi sana uhusiano wa mwaka tu chali... mume for life.. uantaka yupi ??

ha ha i see
hata mie ujuwege sinaga uchumba wa kudumu not more than a year nakupiga chini au nikikupenda penda sana nakupa likizo kwanza ya miezi kadhaa kisha nakurudia
una sifa za mume??
weka bandiko basi tuapply mi nimeshaandaa cv kabisa kwa competition!!!!!
 
...haaahaha..we mkaree, usije ukanikimbia na mimi ...
 
Lol ...utakuwa unakasoro miaka yote hii ulikuwa wapi?na hiyo ndo adhabu yake cos atakayekuoa atakutumia miaka saba tu badae unaanza kuitwa bibi na yeye anaanza kujirusha na viyoso!tayari ushabugi ramani yani hata ukiolewe do expect mumeo atakuwa anakucheat kwa wasichana wadogo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tabia mbaya hiyo!!
what if akimpata mbaba wa 50 years????
mwache mwenzako kuna watu humu hawana wake na wapo above 40 so withdraw your statement
 
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa
Kwa umri ulionao, na masherti ya umri uliyonayo basi wewe tegemea
1. Kuolewa mke wa pili, maana wanaokufaa wote washaoa
2. Kuolewa na MGANE maana ambaye hajaoa atakuwa chini kiumri ukilinganisha na umri wako
3. Kuwa mpango wa kando a.k.a nyumba ndogo maana waliokuzidi washaoa
4. Kuwa 'shuga mami' wa kujilelea kakijana ka form four a.k.a LY

All in all, age is just a number
 
kwa huo umri wako, we subiri aliyefiwa na mkewe.

Kauli za namna hii ni dhihaka na maudhi hata mbele ya Mungu, JF inaheshimika kwa michango na ushauri maridhawa, mwenzetu we wa wapi?
Kauli zenye ufu kama hizi si za nyumba hii, tambua utu wako kwa kuonesha ukomavu wako wa fikira!
 
Kuna ukweli huwa hamuukubali, lakini alichosema Mchaichai_dawa ni kweli. Sindano inauma, lakini ina dawa..
 
Acha ushamba ww! sa kama unamzidi umri inahusu nn? Acha ndoa za mazoea, kama mtu unampenda na umejiridhisha kua anakupenda, kipute anapiga fresh na anamuelekeo wa kujenga famolia na ww sasa we unataka mungu akupe kitu gan! Au inaoenda
 
Back
Top Bottom