Mzee wa ukaguzi!
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa

Jenu unataka umri gani i kwani saizi ya kiatu?
Mimi nimeuliza tu, lbda umri una determine size!Hehe watu mna maneno!!! :wink: