Kila anayenitongoza namzidi umri

Kila anayenitongoza namzidi umri

Jenu

Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
70
Reaction score
44
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa
 
Umerudi tena...jiachie bibi, maisha mafupi, age is just number, as long as sio mamake sioni tatizo if you two click.
 
aaagh umri umeshaenda hebu mkubalie kijana unayehisi moyo wako umemdondokea coz umri kwenye mapenzi hauna nafasi ukizingatia maisha mafupi.
 
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa

Mi nian 52 ila bahati nzuri nimeshaoa tayari. For other arrangements please PM;

Cc. Asprin,
 
Last edited by a moderator:
We umedoda jikamatie mstaafu mmoja.
 
Age aint nothing but a number, jaribu kufuatilia ndoa za hawa watu;
Ashton Kutcher & Demi Moore
David Beckham & Victoria Adams Beckham
 
kwani wewe unataka aliyekuzidi umri ili iweje? unampenda mtu au unapenda umri wa mtu?
 
aaagh umri umeshaenda hebu mkubalie kijana unayehisi moyo wako umemdondokea coz umri kwenye mapenzi hauna nafasi ukizingatia maisha mafupi.

Siku hzi watu wanaangalia ubora hawaangalii ukubwa wa mtu..
 
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa

Usikate tamaa. Mungu atakupa wa kukufaa
 
Siku hzi watu wanaangalia ubora hawaangalii ukubwa wa mtu..

agemate ni wasumbufu sana bora uchungulie nje uone mwenye unafuu haijalishi ni kababu au kibibi,senior au junior
 
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa

Pole sana, kwa huo umri wako, we subiri aliyefiwa na mkewe. Hao wadogo wanahisi wewe utawalea.
 
umri umesogea dada,Mungu akusaidie umpate haraka ikiwezekana hata hao wadogo wakubalie tu, sasa utafanyaje umri unasogea....
 
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa
ingia google uangalie Shakira na Gerald pique gape ni miaka 10 teteeehh
 
Back
Top Bottom