Kila anayenitongoza namzidi umri

Kila anayenitongoza namzidi umri

Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa

Msaada kwenye tuta ndiyo unatafuta mume hivyo au??? Kama wanakupenda kweli pangeni maisha kigezo hakiwezi kuwa umri pekeyake.
 
watu wengine mtu kaomba ushauri unamwambia kadoda,angedoda hao serengeti boys wangemfuata.

Hao serengeti wanataka pamba, kulishwa na kuchezea mausi ya mama wa watu.
 
Shost mbona km mm nina mkasa huo huo, wengi nawazidi miaka 8 mpaka 12. lkn kwangu nahisi ni kwasababu ya Umbo dogo lkn kwa sababu ya kauwezo wengine wanafata kulelewa kama alivyosuggest member hapo juu. mmh kazi ipo!
 
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa

Watongoze wewe mkuu, tafuta unaemzid umri mtupie madini.

  • :-*
 
umri, mapenzi, mmh sidhani kama kuna kizuizi cha umri katika mapenzi, uachie moyo wako upende usiulize umri tena utapata wa moyoni mwako.
 
watu wengine mtu kaomba ushauri unamwambia kadoda,angedoda hao serengeti boys wangemfuata.

True kabisa dada Asnam yaan mtu amejitokeza kuomba ushauri wewe wamwambia amedoda!plz wakuu sometime let's put ubinadamu,sio vyema hata kidogo kumwambia mwenzio hivo!she need help n courage!ndio maana ka-share na sisi hapa otherwise asinge andika humu!
 
Last edited by a moderator:
Mmhh...hili lishakua tatizo sugu kwa kweli...
Lakini ni sawa, kwani una kadi yake ya kuzaliwa maisha ziro distance mamaa jiachie!😉
 
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa

Sababu ni kwamba wanaume wengi wenye umri wa miaka 35 na zaidi, huwa tayari wana wanawake zao, na huwaga hawapendi kutongoza wanawake ambao wanahisi watawaganda wakati wao tayari wana watu wao.
Wanaotongoza tongoza sana mwanamke yeyote mara nyingi huwa ni wanaume wenye umri chini ya 30 ambao hawajatulia bado.
Nadhani ulivyokuwa na umri mdogo zaidi ya huo wapo wanaume wa rika lako au wakubwa kidogo kwako ambao walikuwa wanakutongoza na kutaka kukuoa na ukawakatalia. Wakati huo ndio ulikua muafaka kwa wewe kuchagua wa ku settle nae.

Endelea kutafuta utapata mwenza usikate tamaa.

Tatizo hili linawakumba wanawake wengi tu, sio wewe peke yako. Wengi wao(sio wewe) huwa ni wale ambao wanapenda ready made, yaani ni wale ambao hawapendi kujenga maisha from the scratch(kiuchumi)kwa kushirikiana na mwenza, hawa ni wale wanaopenda kukuta mwanaume ambaye tayari ana aina fulani ya utajiri.
 
Ama kweli leo imetimia wewe ndie nilie kutafuta kwenye post yangu ya ukweli toka moyoni yakuwa natafuta alienizidi umri kwakuwa atakuwa ameshapitia mengi naumri huo huwa waaminifu pls nikubalie ombilangu kwani nina miaka 25
 
Mi nian 52 ila bahati nzuri nimeshaoa tayari. For other arrangements please PM;

Cc. Asprin,

Mh!!..Mkuu acha kumsaliti mama watoto, hebu muheshimu mkeo bwana.
Umeishi na nae mpaka umefikisha umri huo halafu leo unataka umsaliti aisee!!....
 
Nimeskitika kuona una 35 but still yet una mtazamo wa kitoto!
Age haina nafasi ktk ndoa!
Hiyo ni mitarakimu tu!
Tarakimu mbali na ndoa (mapenzi) mbali ! Havihitajiani.
 
Hili ni tatizo linalonikabiri miaka mitatu sasa kila mwanaume anayenitongoza ni mdogo Kwangju,
Nina miaka 35,na nahitaji mwenza wa kudumu,nimezunguka vya kutosha,sasa nahitaji kusettle,
Msaada kwenye tuta wanajukwaa

umezunguuka sana, that is experience. Waajiri huhitaji watu wenye experiance ya kutosha. Don't be surprised...hata vijana wanataka kubebwa
 
imeniuma sana watu wengi wanavyo mkejejeli.ila ikumbukwe pia kila kitu nimipango ya mungu.huwezi jua amekuandikia nini.la muhmu usiangalie umri sana japo pia uliyemzidi umri sana atakuja kukusumbua badae.muombe mungu sana atakupa hitaji lako
 
umri, mapenzi, mmh sidhani kama kuna kizuizi cha umri katika mapenzi, uachie moyo wako upende usiulize umri tena utapata wa moyoni mwako.

umli nikitu mhimu sana ni moja katiya vigezo kumi vya kutafuta mchumba,zingatia
 
Back
Top Bottom