Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Na Mimi sina kumbukumbu mkuu, hata Namungo mwenyewe hajacheza naoLini tulicheza na Atletco ya Angola
Kama si Atletico basi ni timu nyingineLini tulicheza na Atletco ya Angola
Ud SongoKama si Atletico basi ni timu nyingine
Asante kwa masahihishoUd Songo
Duuuh kwenye ugokoSasa hii imekuwa tabia au hulka , Tulipofungwa na UD SONGO ya Angola mchezaji aliyetufunga akasajiliwa , leo tena Chikwende naye ndio kama mlivyosikia .
Bado haijafahamika kama usajili huu ni pendekezo la Kishingo au Matola , ama labda Babra , wala haijulikani kama usajili huu unakidhi vigezo vya kiufundi , bali kinachofahamika ni kwamba Chikwende amesajiliwa Simba baada ya kuidungua goli kule Harare hata kama mpira ulimgonga kwenye ugoko
Mkuu kwani unateseka nini, ina maana huioni kazi ya Luis Miquissone? Huioni kazi ya Bocco? Mugalu, Chama na Larry Bwalya waliifunga Simba lini? Kwenye utafiti huwa hatutoi conclusion kwa kuangalia sample chache namna hiyo, ndiyo maana huwa tunasisitiza watu waongeze maarifaSasa hii imekuwa tabia au hulka , Tulipofungwa na UD SONGO ya Angola mchezaji aliyetufunga akasajiliwa , leo tena Chikwende naye ndio kama mlivyosikia .
Mkuu kwani unateseka nini, ina maana huioni kazi ya Luis Miquissone? Huioni kazi ya Bocco? Mugalu, Chama na Larry Bwalya waliifunga Simba lini? Kwenye utafiti huwa hatutoi conclusion kwa kuangalia sample chache namna hiyo, ndiyo maana huwa tunasisitiza watu waongeze maarifa
kwa hiyo toka simba ianze kufungwa ni hao tu waliowahi kuwafunga simba?Morrison, Luis na sasa Chikwende
Halafu wanasajili mtu asiye na vigezo vya kucheza champions leage, sijui wa nini
Sasa hii imekuwa tabia au hulka , Tulipofungwa na UD SONGO ya Angola mchezaji aliyetufunga akasajiliwa , leo tena Chikwende naye ndio kama mlivyosikia .
Bado haijafahamika kama usajili huu ni pendekezo la Kishingo au Matola , ama labda Babra , wala haijulikani kama usajili huu unakidhi vigezo vya kiufundi , bali kinachofahamika ni kwamba Chikwende amesajiliwa Simba baada ya kuidungua goli kule Harare hata kama mpira ulimgonga kwenye ugoko
punguzeni ujuaji basi bora hata uwe unajua maana hujui ,kanuni za Caf zinaruhusu simba wako group stageHalafu wanasajili mtu asiye na vigezo vya kucheza champions leage, sijui wa nini
Bado NTIBAYONKINZA ile penati yake ya mwisho.Morrison, Luis na sasa Chikwende
Mbumbumbu fc aka utelembweSasa hii imekuwa tabia au hulka , Tulipofungwa na UD SONGO ya Angola mchezaji aliyetufunga akasajiliwa , leo tena Chikwende naye ndio kama mlivyosikia .