Kila awamu hawa watu huwa wanakuwepo

Kila awamu hawa watu huwa wanakuwepo

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Katika kila awamu lazima watu hawa wawepo.
1. Ambao wanamtetea rais sababu ni dini yao/dhehebu lao
2. Sababu anatoka chama chao
3. Sababu wanatafuta nao teuzi
4. Sababu hawana kazi wanajikomba wapate pate makombo
5. Sababu ni kabila lao
6. Sababu hawana uelewa wa mambo
7. Sababu wanapata vijicent kwa kuwekwa kiunyumba
8. Sababu aliyetoka aliwaumiza
9. Sababu walipewa tshirts na kofia
10. Sababu hawajui cha kutetea au kupigania.

Hawa ndo huwa wao kwa siku wanaweza andika nyuzi kadhaa wakisema hili na lile kumpamba rais kilaza na kumwimbia nyimbo za sifa na mapambio. Arse lickers.
 
1,3, 5, na 7 ni watu hatari sana
 
3. Sababu wanatafuta nao teuzi

Nazani huu ujinga umeanza awamu ya tano baada ya mwendakuzimu kuamua kutoa teuzi kwa yeyote yule awe upinzan au mjinga mjinga hii ikapelekea watu kuhis kwamba kumbe inawezekana ndo tukazalisha mamilioni ya machawa wanaosubir teuzi
 
Katika kila awamu lazima watu hawa wawepo.
1. Ambao wanamtetea rais sababu ni dini yao/dhehebu lao
2. Sababu anatoka chama chao
3. Sababu wanatafuta nao teuzi
4. Sababu hawana kazi wanajikomba wapate pate makombo
5. Sababu ni kabila lao
6. Sababu hawana uelewa wa mambo
7. Sababu wanapata vijicent kwa kuwekwa kiunyumba
8. Sababu aliyetoka aliwaumiza
9. Sababu walipewa tshirts na kofia
10. Sababu hawajui cha kutetea au kupigania.

Hawa ndo huwa wao kwa siku wanaweza andika nyuzi kadhaa wakisema hili na lile kumpamba rais kilaza na kumwimbia nyimbo za sifa na mapambio. Arse lickers.
11. Wanaomchukia rais sababu si wa dini yao/dhehebu lao au ukanda wao.....Chama chao kilipoanzia.
 
Back
Top Bottom