Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
I vote for 6 and 10.6. Sababu hawana uelewa wa mambo
10. Sababu hawajui cha kutetea au kupigania.
1,3, 5, na 7 ni watu hatari sanaKatika kila awamu lazima watu hawa wawepo.
1. Ambao wanamtetea rais sababu ni dini yao/dhehebu lao
2. Sababu anatoka chama chao
3. Sababu wanatafuta nao teuzi
4. Sababu hawana kazi wanajikomba wapate pate makombo
5. Sababu ni kabila lao
6. Sababu hawana uelewa wa mambo
7. Sababu wanapata vijicent kwa kuwekwa kiunyumba
8. Sababu aliyetoka aliwaumiza
9. Sababu walipewa tshirts na kofia
10. Sababu hawajui cha kutetea au kupigania.
Hawa ndo huwa wao kwa siku wanaweza andika nyuzi kadhaa wakisema hili na lile kumpamba rais kilaza na kumwimbia nyimbo za sifa na mapambio. Arse lickers.
11. Wanaomchukia rais sababu si wa dini yao/dhehebu lao au ukanda wao.....Chama chao kilipoanzia.Katika kila awamu lazima watu hawa wawepo.
1. Ambao wanamtetea rais sababu ni dini yao/dhehebu lao
2. Sababu anatoka chama chao
3. Sababu wanatafuta nao teuzi
4. Sababu hawana kazi wanajikomba wapate pate makombo
5. Sababu ni kabila lao
6. Sababu hawana uelewa wa mambo
7. Sababu wanapata vijicent kwa kuwekwa kiunyumba
8. Sababu aliyetoka aliwaumiza
9. Sababu walipewa tshirts na kofia
10. Sababu hawajui cha kutetea au kupigania.
Hawa ndo huwa wao kwa siku wanaweza andika nyuzi kadhaa wakisema hili na lile kumpamba rais kilaza na kumwimbia nyimbo za sifa na mapambio. Arse lickers.
Huu uzi hauhusiani na wanaomchukia.11. Wanaomchukia rais sababu si wa dini yao/dhehebu lao au ukanda wao.....Chama chao kilipoanzia.
Oookaaay! Basi Uzi una mapungufu makubwa sana!Huu uzi hauhusiani na wanaomchukia.
Yasikupe shida wewe tighten your ass and pass it over.Oookaaay! Basi Uzi una mapungufu makubwa sana!
You mean yours is loose?!!!! So sadπππYasikupe shida wewe tighten your ass and pass it over.
I meant i saw it loose and you stood on my wayYou mean yours is loose?!!!! So sadπππ