Bora ukiambie hiki kiazi, huyu ni kiazi tu Ila nadhani kwa maelezo yako huenda akaelewa, huenda.Wanapoandika sababu ya kifo kuwa ni tatizo la upumuaji au kushindwa kupumua, kitabibu maana yake wanamaanisha kuwa tatizo la mfumo wa hewa kushindwa kufanya kazi ndio chanzo.
Na 'injini' ya mfumo wa hewa huwa ni mapafu, hivyo kwa lugha nyingine ni sawa tu na kusema mapafu yamefeli.
Sababu nyingine za vifo huwa haziwi sababu mama ya mapafu kushindwa kuchakata uingiaji na utokaji wa 'oksijeni' ama 'kabonidayoksaidi'
Kila binadamu hufa kwa tatizo la upumuaji pumzi ikikata ndipo hufariki hakuna akaendelea kupumua
Siku hizi kuna ujinga unasambaa mtu akifa tu utasikia lilikuwa tatizo la kupumua!!
Tafsiri ya kifo chochote ni pumzi kukatika ndio maana kuangalia mtu kama kafa huangaliwa upumuaji.
Sasa haya maneno ya kusema mtu kafa kwa tatizo la kupumua yanatoka wapi?
haijaamua tuWewe mbona haijakuua
Mfano: Kupigwa kabali ile ya kisawasawa mpaka miguu inaning'inia juu juu!Wanapoandika sababu ya kifo kuwa ni tatizo la upumuaji au kushindwa kupumua, kitabibu maana yake wanamaanisha kuwa tatizo la mfumo wa hewa kushindwa kufanya kazi ndio chanzo.