Ras wakambo
Member
- Nov 22, 2011
- 71
- 6
Wanajamii nisaidieni mawazo yenu...ctaki kusimulia yaliyopita ila ni kwamba nilikuwa naongea na ninaeamini ni mpenzi wangu lakini ghafla kanambia kata cm mama anapiga tokea saa nne bt kila nikipga tena ipo call waitn,nikajaribu kumpigia mama ake akapokea nikazuga kumpa salam then nimerudi tena kwake cm ipo bado hewani anaongea...nikakata tamaa nimeamua kulala akanipigia anadai kaongea na mama yke ananisalimia....nikamwambia mpigie tena ye ndo anakusalimia amekasirika kwa nn nmempigia mama ake ucku bila kumtaarifu...je huyu anastahili kupendwa kweli?