Kila cku lakini leo kazidisha

Kila cku lakini leo kazidisha

Ras wakambo

Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
71
Reaction score
6
Wanajamii nisaidieni mawazo yenu...ctaki kusimulia yaliyopita ila ni kwamba nilikuwa naongea na ninaeamini ni mpenzi wangu lakini ghafla kanambia kata cm mama anapiga tokea saa nne bt kila nikipga tena ipo call waitn,nikajaribu kumpigia mama ake akapokea nikazuga kumpa salam then nimerudi tena kwake cm ipo bado hewani anaongea...nikakata tamaa nimeamua kulala akanipigia anadai kaongea na mama yke ananisalimia....nikamwambia mpigie tena ye ndo anakusalimia amekasirika kwa nn nmempigia mama ake ucku bila kumtaarifu...je huyu anastahili kupendwa kweli?
 
hahhhaaa we nae vitu vingine mbona majibu wazi kabisa...:rolleyez:
 
hapa hapahitaji hata cheti cha la saba.

He wants you to confirm to him what he already know...ndio shida moyo ukipenda hautaki kukubaliana na akili inachosema...kwa ufupi dogo amekamatika...dont worry it is a learning process And eventually you will find your way out of that love maze...
 
Wewe tulia, usimpapalikie tena!! Mwache hivyo hivyo! akikuchunia basi ndiyo kimoja! Akijirudi (angalia na muda wa kujirudi) mpe laivu bila chenga A - Z nini hupendi, unatakaje na kwa nini ulimpenda yeye lakini kutokana na 1,2,3 .... inakuwia vigumu kumwamini tena.
 
uchakachuz umeongezeka mipaka siku hiz, walisema ooh dalili ya mvua ni mawingu hahaha siku hiz mvua inaanguka tu bila hata ya mawingu... Umeliwa baba. Vunga kidogo alaf mchane zake zimtoshe...
 
ww umeongea nae sekunde tu kakuambia kata cm, huyu kaongea nae saa 4 mfulilizo. In addition kakupiga mkwara usimpigie Mama yake bila kumtaarifu. Hapo unahitaji ushauri gani tena dogo?
 
vitu vidogo sana hivyo kuvifkiria na kufanya maamuzi
 
Wanajamii nisaidieni mawazo yenu...ctaki kusimulia yaliyopita ila ni kwamba nilikuwa naongea na ninaeamini ni mpenzi wangu lakini ghafla kanambia kata cm mama anapiga tokea saa nne bt kila nikipga tena ipo call waitn,nikajaribu kumpigia mama ake akapokea nikazuga kumpa salam then nimerudi tena kwake cm ipo bado hewani anaongea...nikakata tamaa nimeamua kulala akanipigia anadai kaongea na mama yke ananisalimia....nikamwambia mpigie tena ye ndo anakusalimia amekasirika kwa nn nmempigia mama ake ucku bila kumtaarifu...je huyu anastahili kupendwa kweli?

hamna kitu apo
mlango unauona?
 
in fact hastahili kupendwa coz hakutakiw kukacrika alitakiwa ajishtukie kwasabab amekudanganya na akuombe msamaha
 
Mawazo ya wa-ukenyenge yanamaana kubwa sana. Yafanyie kaz kwa umakini
 
Ngoja nimsimulie mkasa huu dogo wangu wa Pre Standard 1 kisha nimpe Laptop akuchane live.

Maana inaelekea akili zako na JK au Peter P. M zipo sawa (Hamuwezi kufanya maamuzi magumu kila mara mpo kwenye mchakato)
 
Back
Top Bottom