Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

Muinjilisti, umechimba mambo vilivyo. Sasa naomba niulize, hivi wale wanefili ambao ni majitu walitokea wapi ?
Kwa maandiko yanasemaje. Maana mpaka unewajua, basi kuna sehemu uliwasoma.
 
Muinjilisti, umechimba mambo vilivyo. Sasa naomba niulize, hivi wale wanefili ambao ni majitu walitokea wapi ?
Wanefeli ni uzao wa wanadamu na majini ndio hii species ya wazungu.
wZungu ni uzao wa wanadamu na majini.
Wanefeli walitokea baada ya majini kufanya ngono na wanadamu.
Wanawake wa kibinadamu walikuwa uchi wakioga mtoni majini yakiwa yanazunguka zunguka wakaona wakawaingilia wakawapa mimba,ndipo wakazaliwa majitu ambao mengi yalikufa kwenye gharika zama za Nuhu.
Hawa wazungu ni mabaki ya mazao ya hao wanefeli.
Thus brain zao ni tofaut
 
Maandiko yanasema walikuwa ni majitu, sasa hayo majitu yalitokea wapi ?
Walikuwa ni watu wa kawaida tu wenye maumbo yaliopitiliza. Wapo baadhi hata baada ya gharika. Mfano warefai na wakina goliathi.

Kuna nadharia nyingi wamewakuza sana kwenye vitabu vya jubilee, na book of noah, na nadharia nyingi ambazo zinasema ni hybrid ya majini/mapepo.
 

Unawasaidiaje viongozi wa kisiasa wao binafsi maana wapo kwenye kila eneo ulilotaja hapa
 
Eti ulinzi wa damu ya yesu,

Hamna akili nyie wagalatia,
 
Unawasaidiaje viongozi wa kisiasa wao binafsi maana wapo kwenye kila eneo ulilotaja hapa
Hawa tunawaombea, na kuomba nafasi ya kukutana nao na kuwafnyia biblical ministering. Ni watu wema sana, na waelewa. Alifanya hivi Paulo kwa mwanasiasa wa Cyplus Sergio Paulus aliyekuwa anaendeshwa na mapepo na waganga, alielewa Akabatizwa baada ya kumpa appointment paulo.
 
Hawa tunawaombea, na kuomba nafasi ya kukutana nao na kuwafnyia biblical ministering. Ni watu wema sana, na waelewa.
Mnawaogopa! Wangekuwa waelewa wangeacha tabia hizo maana wanakula viapo kwa kutumia vitabu vitakatifu, wapo kwenye nyumba za ibada kila siku za ibada mbona hamuwaambii live nyakati hizo?
 
Mnawaogopa! Wangekuwa waelewa wangeacha tabia hizo maana wanakula viapo kwa kutumia vitabu vitakatifu, wapo kwenye nyumba za ibada kila siku za ibada mbona hamuwaambii live nyakati hizo?
Sababu kubwa ni umasikini.
Ukiwa mtumishi wa Mungu, unatakiwa ujitambue wewe unatumikia serikali tajiri ya Mungu mwenye kila kitu. Ukiwa na mrntality ya Ukuu na uweza wa Mungu na ufalme wake, kwa kuwaheshimu unaweza kuwasaidia wanasiasa wote na wataingia mbinguni. Ila wengi upeo wao unaishia kwenye ukuu na utukufu wa taasisi yake ya dini.

Huwezi kuwasaidia kma unaukatibu na kanisa au taasisi kuliko Mungu mtawala na anayeruhusu hao wanasiasa wakae kwenye hizo offisi huwezi kuwasiadia.
 
Hao binadamu siku hizi wameenda wapi ?
 
Muinjilisti siyo kwenye Torah tu, mbona kwenye kitabu cha Samweli kulikuwa na Goliath na Ishbibenob ambao walikuwa ni wana wa majitu ?
Walikuwa wanaishiliaishilia.
Unajua hata structure ya mtu wa wakati wa Yesu na sisi hapa leo kunautofauti mkubwa.

Dhambi (shetani) kazi yake ni kuiba, kuharibu na kuua. Hivyo miili yetu na maumbo yameendelea kuwa degraded kadili uovu unavyozidi.
Ukiona wakina Great Kali, Hasheem Thabeet and Co ni ukoko wa masalia tu. Kwanza wengi ni wagonjwa wagonjwa hadi wanafanyiwa upasuaji kubalance mwili.
 
Muinjilisti siyo kwenye Torah tu, mbona kwenye kitabu cha Samweli kulikuwa na Goliath na Ishbibenob ambao walikuwa ni wana wa majitu ?
Ingekuwa ni uzao wa majini na watu. Hadi leo yangekuwa mengi kuliko watu. Maana mapepo ni mara trillioni ya idadi ya watu duniani.
Ile dhana huwa siiungi mkono. Maana wakati wa gharika Mungu hakuua mapepo yakiyozini na watu.
 
Muinjilisti naendelea kujifunza, hebu nivumilie. Hivi wale wana wamungu waliozaa na wanawake wa kibinadamu kwenye Mwanzo 6 walikuwa ni wakina nani ?

Pale kwenye mnara wa Babeli nini kilipelekea hadi watu wakagawanywa na kufukuzwa na kuzuiwa kujenga mnara ?

Kule Sodoma, kwanini watu walitaka kuwabaka wale Malaika, nini kiliwapelekea wale watu wafanya jambo kama lile. Ruthu alikaa nao miaka mingi lakini hawakuwahi kutaka kumbaka. Chanzo kilikuwa nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…