Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

Majini majanja sana. Yanaweza kudanganya watu yanaogopa mfupa wa nguruwe na bangi, wakati hayohayo wakati wa Yesu yaliomba yakimnilie kwa kwenye manguruwe kule kwa wagerasi.
Hakuna kiumbe kinachopenda kitimoto au kitu chochote kinachoathili akili za mwanadamu ikiwemo bangi na chochote kinacholeta uraibu kama majini.

Huwa ni maongomapngo na vigeugeu na masanii flani hivi. Wengi hawaelewi utendaji kazi wao ndio maana yanawasumbua.
Upo sahihi mtumishi🙏
 
Back
Top Bottom