Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

Kama wazungu ni uzao wa "wanadamu" na majini, hao "wanadamu" walikuwa na rangi ipi na mwonekano upi kisura kabla ya kujamiiana na majini?
 
Hakuna majini wema
Majini majini tu
Sa lishaitwa jini huo wema unatoka wapi[emoji28]
Wenzenu wanaamini kuna majini wema na wanasali nao msikitini. Halafu naomba nieleweshwe, kuna utofauti gani kati ya maneno Jini, Shetani na Pepo.
 
Kama wanefili waliangamia kwenye gharika ya Nuhu, iweje mpaka leo bado wapo tu ? Nuhu alikuwa na vijana wake walikuwa na rangi gani ?
 
Majini na mapepo ni Roho..hawana miili. In no way wanaweza kuja kufanya jambo lolote kama kushiriki ngono na binadamu.

Haiwezekani na si kweli kuwa wanefili ni zao la binadamu na majini kushiriki ngono.
 
Muonekano wa binadamu rangi ya Kahawia
Kwani jini kimwonekano/kisura ni kama binadamu wa kawaida isipokuwa tofauti iliyopo ni rangi tu? Kwamba kwa vile jini na binadamu wanafanana walipofanya ngono kikatokea kiumbe kingine (mnefili) aliyefanana nao isipokuwa rangi tu ndiyo ilibadilika? Maana sitegemei viumbe wawili wasiofanana mfano simba (katika nafasi ya jini) ajamiiane na kuku (katika nafasi ya mwanadamu) halafu mtoto (katika nafasi ya mnefili /mzungu) afanane na mwanadamu. Sijui umenielewa point yangu mkuu? Please, just bear with me 'cause am trying to learn somethin'.
 
Unaamin wazungu wanabrain tofaut na sis au walipata tu nafasi ya kutuaminisha na hovyo?
 
Wenzenu wanaamini kuna majini wema na wanasali nao msikitini. Halafu naomba nieleweshwe, kuna utofauti gani kati ya maneno Jini, Shetani na Pepo.
Mmh ngoja nitarudi nisiandike ambacho Sina uhakika.
Ila shetani ndo Lucifer
 
Unaamin wazungu wanabrain tofaut na sis au walipata tu nafasi ya kutuaminisha na hovyo?
Utofauti wa akili upimwa kwa tofaut za maendeleo, ilitakiwa baada ya uhuru tuwe na maendeleo kuwazidi wao
 
Utofauti wa akili upimwa kwa tofaut za maendeleo, ilitakiwa baada ya uhuru tuwe na maendeleo kuwazidi wao
Sankara, Patrice Lumumba,kwame nkurumah nahis na mshua wetu pia waliuawa kwa kupambania maendeleo ya kweli ya nchi zao wanataka uamin wewe ni kilaza na hawataki viongoz wenye fikra tunduizi wenye jazanda za ukuu kwenye hili bara
 
WAISLAMU WANAFUGA MAJINI NA MAPEPO.

Quran 51:56

Allah anasema
Nami sikuwaumba Majini na WATU Ili waniabudu Mimi.

Quran 72:2.
Sema.
Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi Moja la majinililisililiza na likazema
Hakika sisi tumeisikia Quran ya Ajabu.
 
bangi na majini/mapepo wapi na wapi palipo na moshi wa bangi hakuna pepo wala jini au mchawi anaweza kusogea
 
Kwahiyo waislamu kudai kwamba majini wanaswali nao huko misikitini ni kutupiga kamba ?

Wahindu wana miungu yao mingi tu, na wakifanya ibada zao wanaamini wanapata majibu kama wewe, hiyo miungu yao unaiweka kwenye kundi gani ?
Sasa hivi unaleta vita vya kidini. Mada hii ni nzuri ila itaharibika muda si mrefu.
 
Sankara, Patrice Lumumba,kwame nkurumah nahis na mshua wetu pia waliuawa kwa kupambania maendeleo ya kweli ya nchi zao wanataka uamin wewe ni kilaza na hawataki viongoz wenye fikra tunduizi wenye jazanda za ukuu kwenye hili bara
Kuwasingizia wazungu juu ya matatizo yetu ni matumizi mabaya ya akili
 
bangi na majini/mapepo wapi na wapi palipo na moshi wa bangi hakuna pepo wala jini au mchawi anaweza kusogea
Una elimu kuhusu majini? Yapo majini Yana piga bangi na kitimoto kama kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…