Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

bangi na majini/mapepo wapi na wapi palipo na moshi wa bangi hakuna pepo wala jini au mchawi anaweza kusogea
Majini majanja sana. Yanaweza kudanganya watu yanaogopa mfupa wa nguruwe na bangi, wakati hayohayo wakati wa Yesu yaliomba yakimnilie kwa kwenye manguruwe kule kwa wagerasi.
Hakuna kiumbe kinachopenda kitimoto au kitu chochote kinachoathili akili za mwanadamu ikiwemo bangi na chochote kinacholeta uraibu kama majini.

Huwa ni maongomapngo na vigeugeu na masanii flani hivi. Wengi hawaelewi utendaji kazi wao ndio maana yanawasumbua.
 
Ubongo upo kwaajili ya kufikiri, ku-collect na ku-process taarifa na hatimae kufanya maamuzi nini kifanyike na hapo ndio movement za mwili huanza... Sasa kama kila unachokipenda, maamuzi na kufikikiri kupo based na mapepo na majini au Mungu [emoji41] Huu ubungo ni wa kazi gani?

Coz hai-make sense kuamua niamue mimi then useme cjui jini kaniingia kwenye Ubongo wangu ndo kanifanya nifanye ujinga how?

Decisions ni game of chances, kuna muda unakuwa correct na muda mwengine unakuwa wrong depends na situations, moods na bahati yako kwa hiyo siku
 
1: Wale walikuwa watu wa kawaida tu. Wana wa Mungu ni uzao wa seth, na wana wa wanadamu uzao wa kaini na wale waliokuwa wameasi Mungu. Hata sasa watu wa dini wakishirikiana na wanasiasa na watu wa duniani wasiomheshimu Mungu mstari unaowatofautisha ukifutika matokeo yake ni uovu mkubwa, na dunia itajifuta yenyewe bila kiyama. Hiki ndicho ninaweza kukitetea.

2: Lile lilikuwa ni tukio la kiibada. Sio kujenga tu mnara. Pale kulikuwa na mambo mengi sana. Demonology, Dead worship and all sorts of spilitualism. Mungu hawezi kutawanya watu kujenga kamnara tu ambako kimo chake ni kifupi kuliko hata ukilinganisha kiml cha mchwa na mnawa wanaoujenga. Pale kuna mambo mengi sana. Kwa uzi huu nitaishia hapo kwanza.

3: Biblia inasema zinaa inaharibu akili. Aziniye na mwanamke hana akili kabisa.
Wale malaika walikuja kwa umbo la watu, kwa sababu ni watu wapya hawajawazoea wakataka kuwalawiti. Sio mara ya kwanza mtu mpya kuingia eneo na kutaka kubakwa au kibakwa kabisa. Soma kitabu cha waamuzi. Kuna watu wanaitwa watu wapumbavu walitaka kufanya kama wale wa sodoma.

Chanzo ni akili mbovu. Ndio maana kuna jamaa wanalawiti hadi sungura, mbwa, ng'ombe na jamaa mmoja brazil alioa mti.

Zinaa huwa inapogusha ufahamu.
 
Maamuzi unafanya wewe ni kweli.
Kwa nini tunasema Yule mtu anaendeshwa na akili za mke wake au na marafiki zake.

Wale jamaa vita vyao ni kwenye huo mfumo wa kuchakata mawazo. Tena kunaandiko linasema kuna wazo linakuingia mojakwa moja kutoka kwa ibirisi kama Yuda. Katika processing na execution ndipo unatakiwa kuwa makini. Unaweza kujikuta umeanza kuchakata mawazo ya majini yaliyojiingiza katikati ya mawazo yako.

Ndio maana biblia inasisitiza sana ulinde sana ubongo wako kuliko kitu chochote.
 

ulikuwepo wakat majini yanaomba yaingie kwa nguruwe au umesoma kwenye vitabu ulivyo vikuta tayari vimeandikwa na wewe ukakaririshwa?
 
Mkuu kuna watu wanapenda sana kula nyama ya kuku wa kienyeji. Je, ulaji huo nao ni uraibu? Na kama ni uraibu nao umesababishwa na majini?
 
hakuna kitu kama hichi acha porojo mkuu lete fact na sio story
Kama hana elimu hio endelea kuamini hivyo ukidhani majini yote yanafanana au yanatoka koo moja
 
Mkuu kuna watu wanapenda sana kula nyama ya kuku wa kienyeji. Je, ulaji huo nao ni uraibu? Na kama ni uraibu nao umesababishwa na majini?
Kupenda kula na ulafi.
Kazi ya majini ni kuiba, kuharibu na kuua.
Yatakuhamasisha uwe mlafi hadi yakuharibu mwili ufe.
 
ulikuwepo wakat majini yanaomba yaingie kwa nguruwe au umesoma kwenye vitabu ulivyo vikuta tayari vimeandikwa na wewe ukakaririshwa?
Hata kama unayo ukija kwangu kama utayasaliti nikiyafukuza kama kuna nguruwe pembeni yatakomba yaingie huko.

Tunaongea experience sio maneno. Yale maneno ninauhakika nayo nimeyafanyia research.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…