Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kwa Tanzania kila Halmashauri ikiamua inaweza jenga kiwanja mfano wa kmc au singida Black stars kama wakiamua mfano Halmashauri ya ubungo, temeke, na kigamboni wanaweza kuwa na kiwanja kama kile
Viwanja hivyo vitaweza kukuza michezo ndani ya Halmashauri hizo na kuwa chanzo cha mapato kwa Halmashauri
Kama nia ipo inawezekana vizuri tu
Viwanja hivyo vitaweza kukuza michezo ndani ya Halmashauri hizo na kuwa chanzo cha mapato kwa Halmashauri
Kama nia ipo inawezekana vizuri tu