Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Cha kushangaza hata hizo heshima anazopewa kila kona nazo zinafichwa kwenye mfumo wa serikali.
Kwa sasa si rahisi kujua hata CV,umiliki,jina la muhusika labda kama unatuma pesa kwenye simu.
Na kushangaza mpaka namba zao zimepewa uficho ukijaribu kuangalia taarifa.
Jambo lengine la kuchekesha hata tovuti ya bunge inaficha taarifa za wabunge na elimu zao.
Ina maana uchafu mnaofanya si mnasema kuna uhuru.Onesheni uhuru mjisifu kwa kusifiwa na wakimbizi sijui wa wapi mpaka sasa wanakimbia nchi zao.