Kila ikifika jioni socket breaker inaanza kuzima mara kwa mara

chrisman49

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
352
Reaction score
77
Jioni kuanzia saa 11 mpaka saa2 na nusu ukiwasha circuit breaker inazima kila baada ya dakika kadhaa, ila muda mwingine wote umeme hauzimi.

Wataalamu wa haya mambo naomba msaada.
 
Mkuu kuna yafuatayo:
1. Kuna kifaa unakitumia kina fault na ndicho kinchofanya socket breaker ikate kwa hiyo fanya uchunguzi
2. Socket breaker ina uwezo mdogo kuliko workload unayotumia maana kwa muda unosema inazima ndio muda ambao nyumba nyingi matumizi ndio makubwa
 
Poleni sana, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Kagua vifaa vyote vyenye plug ya pin 3 , hivi ndio zaidi vinaweza kusababisha tripping endapo kuna muingiliano kati ya Live na Earth au Neutral na earth.

Pili kama mdau alivyosema inawezekana ni overload kwakuwa hiyo mida ndio watu wanapika, wanaangalia TV , redio zimewashwa kwasababu muda huo watu wanakuwa wameshatoka makazini wapo nyumbani.
 
Mna ugonjwa una itwa mastrofgatolaamspisioshyz...
 
Most breakers kwa bongo ni leakage,kunasehemu kuna loose in wiring or kuna kifaa kinashida ndio inayosababisha defence mechanism ya socket breaker...chunguza unaweza zima kifaa kimoja kimoja km upo kwako km umepanga washirikishe majiraji uweze tatua kabla hamjaunguza nyumba.
 
Shukarani kaka.
 
Asante kaka
 
Nasubiri majibu
Nimetibu ugonjwa tayari, kumbe umeme kuzima kila jioni shida inakuwa breaker, jion umeme unapungua kama breaker ina uwezo mdogo umeme utakuw unazima inakuwa inashindwa kumaintain umeme, tangu nibadili breaker na kuweka yenye quality haujazima.
 
Nimechange breaker na kuweka breaker yenye quality kubwa sasa hivi hauzimi umeme.
 
Sasa hivi hauzimi kaka kumbe ishu ilikuwa ni hizi breaker zetu za bei rahis za mtaani...
 
Nimetoa ile breaker ya hovyo ambayo nilipost huko juu mwanzo, nimeweka RCD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…