Habari wana JF,
Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam.
Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini.
Nifanye nini kupambana na hii hali. Nkitaka nisome mambo mengi ili nifaulu hiyo hali ya kutaka kuchanganyikiwa inanitokea.