Wewe umetupiwa mapepo yanayokuzuia usisome, tafuta Kanisa la kilokole lolote ukasali hapo.Habari wanajf. Mm nina tatizo Kila nkihamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mm kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini . Nifanye nn kupambana na hii hali. Nkitaka nisome mambo mengi ili nifaulu hiyo hali ya kutaka kuchanganyikiwa inanitokea
Uandishi huu ni wa chekecheaHabari wanajf. Mm nina tatizo Kila nkihamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mm kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini . Nifanye nn kupambana na hii hali. Nkitaka nisome mambo mengi ili nifaulu hiyo hali ya kutaka kuchanganyikiwa inanitokea
Nipe ushauriUandishi huu ni wa chekechea
Wewe umetupiwa mapepo yanayokuzuia usisome, tafuta Kanisa la kilokole lolote ukasali hapo.
Usipuuze hili
Nenda makanisa ya kilokole!Habari wanajf. Mm nina tatizo Kila nkihamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mm kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini . Nifanye nn kupambana na hii hali. Nkitaka nisome mambo mengi ili nifaulu hiyo hali ya kutaka kuchanganyikiwa inanitokea
Sina hayo mamboKawaida kwa wazee wa club ..na mademu ..sio ww peke yako
Unasoma au kujifunza kwa ajili ya mitihani? Ukifundishwa au kujisomea, kinatakuwa kibaki katika ufahamu wako, wacha mitihani, hata ikibidi unatakiwa ueleze ulichojifunza, uweze kukielezea kwa yeyote.Habari wana JF,
Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam.
Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini.
Nifanye nini kupambana na hii hali. Nkitaka nisome mambo mengi ili nifaulu hiyo hali ya kutaka kuchanganyikiwa inanitokea.
Unaonekana unapenda sana starehe na hautimizi wajibu wako kwa wakati ukiwa chuoni hivyo inapelekea mitihani ikifika unajiona hujui kitu unaishia ku postpone.Habari wana JF,
Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam.
Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini.
Nifanye nini kupambana na hii hali. Nkitaka nisome mambo mengi ili nifaulu hiyo hali ya kutaka kuchanganyikiwa inanitokea.
πππππUshauri ni mmoja tu.
ACHA PUNYETO
Habari wana JF,