John_Anthony
JF-Expert Member
- Mar 27, 2024
- 290
- 460
Kwanini uendelee kuishi nae kama anamambo mengi ya siri??
Hapo unakiwa unahisi tu kulingana na situations lakin uhakika haupo nitamwacha kisa nini? Bila kuwa na uhakika wa mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini uendelee kuishi nae kama anamambo mengi ya siri??
KabisaaaUlioa ya nini kama ndio hivyo? Si bora ungebaki peke yako tu.
tukikataa ndoa tutapataje familia?KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
NDOA NI MKATABA WA KITAPELI
Sa kwanini unalalamika mkuu...🤔Hapo unakiwa unahisi tu kulingana na situations lakin uhakika haupo nitamwacha kisa nini? Bila kuwa na uhakika wa mambo