π₯π₯π₯Ίπ₯ΊSijui shida ni nini..
Mimi mke wangu alipojifungua mtoto wa kwanza, baada ya wiki 2 hivi nikapiga zinga la haja
Na huyu mtoto mwingine nae hivyo hivyo siku hiyo natoka home na hisia za ajali kabisa, nikaenda kupata ajali, ila zote nilitoka salama
Ahsante rafiki π«π₯π₯π₯Ίπ₯Ί
Pole rafiki π«
Utupumzishe baba, kila mmoja apambane na wokovu wakeπHapa nawaona walokole na wanga wanajizoa zoa kuja kukushauri
Inaonekana ni kafara aisee! πHembu january ijayo yote kaa ndani usitoke, ila kama umelogwa unaeza ukateleza hata bafuni ukavunjika hata mkono ilimradi kafara itimie
Amcheki kiboko ya wachawi nasikia Sasa hivi amebadili dini anaitwa Mohamed Bin KibokoHapa nawaona walokole na wanga wanajizoa zoa kuja kukushauri
Kweli kabisa. Ni kuvunja pia hii roho ya ajaliPole sana ila chukua tahadhari tu na usiunganishe mambo
Hahahaaaa... Duh!Nakushauri rudi VETA, January ni mwezi wenye pirika nyingi hasa mwanzo wa mwezi. Inaonesha unashindwa na kukabiliana na vyombo vyengi sana barabaranj
πππππ na mimi nimejikuta nacheka tu kwa kweli. Mkuu ikifika january usitumie chombo cha moto tulia hadi January iishe. SimpleWakati naanguka nikawa nacheka tu nikijua tayari
Kweli hili limenifikirisha. Ni ngumu kulingana na mazoea. Muhimu kuongeza maombi na umakiniπππππ na mimi nimejikuta nacheka tu kwa kweli. Mkuu ikifika january usitumie chombo cha moto tulia hadi January iishe. Simple
ππ lile pepo la kifo huni kweli, hata tone la maji linakuua.Umenikumbusha movie moja ya final destination π
Pegea yeso makoviiiWese jingi la mwamposa π
We jamaa huwa unatemaga pumba kama sio mashuduππππ€£Amcheki kiboko ya wachawi nasikia Sasa hivi amebadili dini anaitwa Mohamed Bin Kiboko
January hii kaa mwali, ukitoka wakucheze mwez wa piliHii imenishangaza sana. Ni miaka minne mfukulizo. Pengine inaweza kuwa zaidi kwa kuwa sikufuatilia kabla. Natumia usafiri wa pikipiki. Sasa nikishapata ajali au kuanguka na pikipiki, basi sipati tena ajali mwaka wote. Au kuanguka.
Sasa mwaka ulivyoanza hii hali au kumbukumbu ikanijia. Na mara nyingi huwa ni kati ya tar 1 hadi 10. Sasa nikiwa njiani nakumbuka na najitahidi sana kuwa makini, ila ikipangwa imepangwa tu.
Leo imetokea. Bajaj aliyekuwa anatoka kwenye foleni bila umakini aliiingiza njia ya upande wa kulia nikajikuta namparamia. Nilidondoka vibaya nikaumia sehemu kadhaa. Ajali hiyo ilisababisha pkpk nyingine iliyokuwa inakuja mbele yangu kuharibika taa ya mbele.
Wakati naanguka nikawa nacheka tu nikijua tayari January imejibu. Pamija na kwamba niliumia, sikutaka kuhangaishana na bajaj. Nilichukua chombo changu na kuondoka nikimuacha kabananishwa na aliyeharibiwa taa. Nilijua ya January yametimia hivyo sikuwa na sababu ya kulumbana.
Hofu yangu ni kuwa hii trend itanijenge hofu ya January
Hahahaha unaweza ona umekwepa kumbe umejipelekaππ lile pepo la kifo huni kweli, hata tone la maji linakuua.
Ikivuka January basi hakuna shidaJanuary hii kaa mwali, ukitoka wakucheze mwez wa pili
Uko Dunia Gani mkuu haujasikia kiboko ya wachawi kabadili dini π€£We jamaa huwa unatemaga pumba kama sio mashuduππππ€£