Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Bwana ni mwema!
Sina shida na kumkera mtu yeyote
Lakini naomba tuliangalie hili swala Kwa undani wake.
Mimi nimezaliwa katika familia ya kikatoriki kubatizwa, komunyo na hata sacrament ya ndoa pia nimepata Rc.
Kwa miaka ya Hivi karibuni nimekuwa sihudhurii ibada.
Kwa sababu zangu binafsi.
Kero yangu ni hizi kelele za makanisa ya kilokole zinazopigwa Hadi usiku wa manane Tena Kwa sauti ya juu ya masipika na vipqza sauti.Unajiuliza Kwa hiyo huyu Mungu Ili aabudiwe lazima kuwe na kelele namna Ile kweli?
Nimefatilia Kwa undani zaidi nikagundua kuwa Wala sio kwamba Mungu anahitaji aabudiwe Kwa makelele namna Ile ila KUNA MASHINDANO NDANI YAKE.
Hapa Kuna kanisa linalo itwa T.A.G
Jingine ni kanisa la MUNGU WA BENDERA.
Lile la tatu sijalifahamu nahisi ni la mtu binafisi tu anajulikana Kwa jina Clement
Aisee ikifika saa3 usiku Kila kanisa linaachia mziki Wanaita wa kusifu kamwe hata mtoto mdogo inakuwa ni kazi sana kulala
Nimekuwa muhanga wa siku nyingi sana kuhusu hili.
Nipo karibu na kanisa la wasabato kama mita ½km Hivi lakini hii kero sipati sana sana Wakati wa makambi Yao ndo Huwa Kuna kero kiasi chake lakini pia Hawa wasabato Huwa wanapunguza sana kelele za vyombo vyao vya mziki.
Sijui Kwa ndg zetu walokole ninyi Mungu wenu nitofauti na Mungu wa wasabato na waroma?
Naombeni namna ya kufanya Ili niepukane na haya makelele. Ahsantee