Kila kabila lilitakiwa kuwa na nchi yake

Kwa hiyo kwa mfano kila kijiji au Kata kiwe nchi?
 
Ungekuwa Rais wa nchi ipi.
Inaonekana unapenda kuwa Rais, unapotaja wafaransa una maanisha mkusanyiko wa makabila ndani ya nchi ya ufaransa. Sijaizunguka sana Dunia hii ila ulikuta wapi nchi yenye kabila Moja?
Kabila kwa maana ya lugha, utamaduni na jamii moja? nyingi tu. Mfano Ireland na Iceland.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…