Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabila kwa maana ya lugha, utamaduni na jamii moja? nyingi tu. Mfano Ireland na Iceland.Ungekuwa Rais wa nchi ipi.
Inaonekana unapenda kuwa Rais, unapotaja wafaransa una maanisha mkusanyiko wa makabila ndani ya nchi ya ufaransa. Sijaizunguka sana Dunia hii ila ulikuta wapi nchi yenye kabila Moja?
Kabila kwa maana ya lugha, utamaduni na jamii moja? nyingi tu. Mfano Ireland na Iceland.