Kila kitu cha watanzania ni kichafu

Kila kitu cha watanzania ni kichafu

Hii inchi ngumu ndugu, mimi hata uwanjani niliishaacha maana niliona ujinga mwingi. Nakataa tiketi ya VIP halafu nikifika nakosa siti napelekwa mzunguko, khaa Mambo ya uwanjani yanasikitisha.
Hili la msingi sana. Siti ziwe na number, na tiketi ziwe na number ya siti. Kuna wahuni wanalipia tiketi za mzunguko wakifika ndani wanamfinyia askari buku 2 wanakaa VIPs.
 
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.

Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji, yaani unaweza kwenda kukata gogo ukaahirisha.

Hivi fedha za uwanja zinafanya kazi gani? Lini tutakuwa watunzaji wa mali zetu?

Uhuru sasa. Kuna shughuli inayokutanisha askari wanawake nadhani ni SADC yote. Nimejikuta nimevutwa eneo hili.

Uwanja wa kupokea wageni hata usafi wa kufagia tu imeshindikana. Chupa, take away, makaratasi, tissues yamejaa kila jukwaaa. Mvua imenyesha kidogo, watu wanalowa kisa bati zinavuja.

Majukwaa yamejaa ukoko wa uchafu. Rangi tu na kusafisha shida.

Hivi nani atufundishe ustarabu?

Nakereka sana
Kweli kabisa inatia kinyaaa...
Kama taa Tu zinazimika jiulize huko toilet kukoje... Usiulize kuhusu viti karibia vyote vimeng'oka ni vituko Kwa kweli...
Rudi kwenye Makato sasa ya mechi utachoka wewe akili yako....
Uwajibikaji ni zero hela yote inapigwa TFF wakeshe baa
 
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.

Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona imeoza kwa maji. Yani hata kupaka rangi tu kuta, korido na maeneo mengine ni shida. Vyooo havina maji, yaani unaweza kwenda kukata gogo ukaahirisha.

Hivi fedha za uwanja zinafanya kazi gani? Lini tutakuwa watunzaji wa mali zetu?

Uhuru sasa. Kuna shughuli inayokutanisha askari wanawake nadhani ni SADC yote. Nimejikuta nimevutwa eneo hili.

Uwanja wa kupokea wageni hata usafi wa kufagia tu imeshindikana. Chupa, take away, makaratasi, tissues yamejaa kila jukwaaa. Mvua imenyesha kidogo, watu wanalowa kisa bati zinavuja.

Majukwaa yamejaa ukoko wa uchafu. Rangi tu na kusafisha shida.

Hivi nani atufundishe ustarabu?

Nakereka sana
Watanzania wengi ni washenzi tu.
Utakuta mtu anasema tafuta hela ila mawazo yake mafupi sana.
Hatujafundishwa kufikiri vizuri na kuwa wastaarabu
 
Kama wataka kujua kwamba watanzania ni failure uchafu na uharibifu tunao damuni neenda kweny public premises kama. Stendi ya magufuli mbezi, neenda hospitali ya taifa muhimbili utajionee uchafu nawewe utajidharau tu.
I think we are made to be the way we are
 
Inasikitisha sana. Roho zetu ni chafu sana ndiyo maana kila kitu chetu kinakuwa kichafu.

kaone uwanja mdogo tu wa Azam ulivyo msafi. Waarabu wale.

Hicho kiwanja wapewe DP World wakiendeshe.

Watanzania hatuwezi kitu zaidi ya majungu, matusi, roho mbaya, uchawi, wizi, uongo umbea, uzandiki na uchafu wa kila namna. Vitu vyetu vitaacha kuwa vichafu ikiwa roho zetu ni chafu? Fikiri.
Na CCM tuwape DP World
 
Kuna kaukweli fulani, wakati wa shirika la fast jet usafiri wandege walikua wawakika route 5 mwanza kwa siku ile ilikua inaendeshwa na wazungu. Sasa neenda air tanzania some time usafi wandege unafanyiwa tayari abilia wamo ndani, na kubaya zaidi wakika wa safari haupo.
Duuuh 🙄
 
Back
Top Bottom