Kila kitu cha watanzania ni kichafu

Hii inchi ngumu ndugu, mimi hata uwanjani niliishaacha maana niliona ujinga mwingi. Nakataa tiketi ya VIP halafu nikifika nakosa siti napelekwa mzunguko, khaa Mambo ya uwanjani yanasikitisha.
Hili la msingi sana. Siti ziwe na number, na tiketi ziwe na number ya siti. Kuna wahuni wanalipia tiketi za mzunguko wakifika ndani wanamfinyia askari buku 2 wanakaa VIPs.
 
Kweli kabisa inatia kinyaaa...
Kama taa Tu zinazimika jiulize huko toilet kukoje... Usiulize kuhusu viti karibia vyote vimeng'oka ni vituko Kwa kweli...
Rudi kwenye Makato sasa ya mechi utachoka wewe akili yako....
Uwajibikaji ni zero hela yote inapigwa TFF wakeshe baa
 
Watanzania wengi ni washenzi tu.
Utakuta mtu anasema tafuta hela ila mawazo yake mafupi sana.
Hatujafundishwa kufikiri vizuri na kuwa wastaarabu
 
Kama wataka kujua kwamba watanzania ni failure uchafu na uharibifu tunao damuni neenda kweny public premises kama. Stendi ya magufuli mbezi, neenda hospitali ya taifa muhimbili utajionee uchafu nawewe utajidharau tu.
I think we are made to be the way we are
 
Na CCM tuwape DP World
 
Duuuh 🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…